Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam...
Leo nimedhihirisha wazi kuwa ni hatari sana njaa kuitoa tumboni na kuihamishia kichwani; inaharibu akili yote.
Kisa hiki cha njaa kwa sasa kinasadifu vyema maisha ya mwanasiasa kijana machachari...
Nina ndugu yangu alisafiri kwenda kijijini kakaa miezi 3 katika miezi 3 aliyokaa hakuwa na mawasiliano na alienda kumuuguza mama yake mzazi lakini wakati anaondoka mwezi huo alioondoka alitakiwa...
Naona wana lumumba mnatamani Sana ifikapo 2020 pasiwepo na mbunge wa upinzani yeyote Yule, basi fanyanyeni jitihada hizo mfanikishe bunge libaki la ndiyo Mzee then 2025 watanzania wanasubili...
Kikao baina ya IGP wa Rwanda National Police na Wetu Tanzania Police Force Kilijadili mambo kadhaa zikiwemo Joint operation za Mipakani huku na mambo wa kadhaa ambayo naona Yako sawia na...
Jamani mbona wadada wa Bongo movie umri wao kila siku ni under 30 yrs always, mimi mpaka sasa nimefika 39 lakini kila siku nasikia wapo under 30. kuna siri gani na sisi tutumie miaka yetu isipande.
Jinsi nchi inavyoendelea na changamoto zinaongezeka. Moja kati ya changamoto hizo ni makazi. Nchi yetu Tanzania ni moja kati ya nchi iliyobarikiwa ardhi kubwa ya kutosha pamoja na sera nzuri ya...
Leo mwanachama mwenzetu wa Chadema amefanya uamuzi mgumu.
Ni mgumu kwa tunaojua hali ilivyo ndani ya chama maana mle kuhoji masuala flani flani huwa ni issue.
Sasa mwenzetu kathubutu kamwandikia...
Huwa nasikia na kuona baadhi ya maeneo mbali mbali wananchi wanabomolewa nyumba zao na maduka yao na kuharibu vitu vya wananchi
1: Nani anaehusika na kulinda mali za raia??
2: Kama wanaobomolewa...
Wadau,
Jana ilikuwa ni siku ya huzuni na majonzi makubwa wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu ya Humphrey Makundi aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Scholatica Moshi na ambaye alifariki katika...
Mbaya zaidi ukishinda kiti kimojawapo kati ya hivyo walahi akili inakutoka..
Ukiwa na utimamu unajiliza maswali kama haya
1. Ukiwa mbunge/diwani unawatumikia wananchi wako kupitia tiketi ya...
Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike Dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la Kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi...
Habari za mihangaiko wakuu?
Nimekua nikifuatilia mara kwa mara warsha, sherehe au hata semina zinazousu serikali. Kila inapotokea kuna shughuli yoyote ya kiserikali basi utakuta pale meza kuu...
MAHAKAMANI KISUTU: Puto la Boss wa IPTL tumboni limeisha muda wake, linaweza kugeuka sumu
Wakili wa mmiliki wa IPTL, Harbinder Singh Sethi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Puto...
Bila shaka; kuna mgao wa Umeme unaoendelea kiaina aina hapa nchini japo kuwa TANESCO na Serikali wamekuwa na kigugumizi kuliweka wazi hilo.
Kwa sasa maeneo mengi yanapata umeme hasubuhi kuanzia...
Mambo wakuu
Niende tu moja kwa moja, nimeshangaa kuona watoto bado wanavaa majoho na kofia za "kumaliza shahada"
Hivi lile agizo la Mama la kupiga marufuku uvaaji wa mavazi hayo rasmi kwa elimu...
kwa hisabati za harakaharaka, kila ukimsikia mtu analalamika au anahoji juu ya ugumu wa maisha, mara nyingi utasikia anamalizia na "hata ukipata pesa haikai kabisa"
Nilitegemea kwa hisabati za...
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Amani ya bwana iwe juu.
Wana jamvi rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
Nimekuwa nikitafakari kwa mda mrefu juu ya amri ya kutokuongea na simu ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.