Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Muda ni Rafiki kwa binadamu na muda huwa haungopi ,
Chochote kinachofanyika basi lazima kifanyike kwenye muda.
Tupo Hawamu ya 5 sasa ya uongozi tangu Tupate uhuru kama watanganyika na leo hii Tanzania.
Kuna mengi yaliyotokea huko Nyuma lakini kwa sababu ya muda ndiyo tunayajua leo japo mengine yamebaki ni siri baina ya watu wachache.
Muda wa kweli haujawahi kusimama bali kila sekunde moja inavyopotea na muda nao unazidi kusonga mbele,
Kuna mengi yalitokea ,yanatokea sasa na mengine yatatokea baadae.
Wengi walilamika kuhusu uongozi au udikteta wa mugabe lakini kwa sababu ya muda basi leo wote tumeshuhudia yaliyotokea zidi yake.
Na kuna mengi zaidi yanatokea kwenye nchi yetu na wengi wao wakisema kuna double standard katika baadhi ya maamuzi lakini kwa sababu kuna muda basi ipo siku tutaona
inawezekana kwamba watanzania wengi tulishazoea kuishi life style flani aliyotuachia baba yetu wa Msoga lakini kwa sababu ya muda basi tunajikuta tunashindwa kuishi life style ya sasa ya baba yetu wa Chato.
Kuna wachache wenye viburi vya madaraka ama vyeo huku wakisahau kwamba cheo ni dhamana inayotaka kutumika kwa haki.
Wapinzani wanapitia wakati mgumu kwa sasa pengine kuliko wakati wowote katika siasa lakini wanachotakiwa kufanya ni kusubiri muda utatenda.
Muda utasema yote yanayofanyika kwa sasa kama yanafanyika kwa haki au kwa kusudio furani .
Muda huo huo ulishawahi kufanya makubwa kuliko tunayoyafikiri ,muda huu ninaosemea ndio muda uliomfanya huyu Raisi hapo chini kuwa mtu wa kawaida mpaka leo pasi kutambuliwa ata na nchi yake[emoji116] [emoji116] [emoji116] .
Leo mtatumia baadhi ya vyombo furani ili kulinda maslai yenu lakini siku ikifika basi vyombo hivyo hivyo mlivyokuwa mnavitumia vitawageuka .
Leo kuna mengi mtayafanya kwa furaha bila kujari maumivu ya wengine lakini swiss me kuna kuna kitu kinaitwa Muda siku ukifika basi utasema na kutenda ,
Tuuogope Sana muda kwa sababu siku ikifika muda utakusema au kutenda yaliyo mema na mabaya yako yote.
Tatizo ni Muda Tu .