Asante Makonda kwa kutujazia 'chekechea' Mlimani city! Kwa kweli palipendeza!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,685
2,000
Kwa yeyote aliyekuwepo M city siku ya jana ilikuwa ni siku ya aina yake. Palijaa 'Chekechea' kutoka kila kona ya jiji hili...
Selfie zilikuwa zinapigwa kila mahali. Nilifurahi pia kumuona Mwakyembe akikatiza kwenye viunga vya M city.
Magari ya 'polisi wa Makonda' nayo yalijaa kuzunguka viunga vya M city...
INAPENDEZA sana wana Daslama wanapokutana na kufurahi kwa pamoja kama ilivyokuwa siku ya jana...
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,763

Na mwakani tamasha hili litakuwa la kitaifa, litafikia mikoa yote yenye vyuo vikuu!
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,812
2,000
Kulikuwa na nini hapo M City?
Makonda bash,wameiita intercollege bash walikuwepo wasanii akiwemo diamond pamoja ile 70% ya discount maduka yote ya mcity sijui kwa danube ningeenda kujibebea furniture za nguvu kwa bei ya karume....nilipita mida ya saa tano usiku,watu walijazana hawana hata usafiri wanaomba lift!
 
option

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
1,798
2,000
Aiseeee nikajua yale maflat ya inch 312 yangeuzwa kwa bei ya k/koo lakini haikuwa hvo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom