Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana jamiiforum kwa wale wajuzi wa mambo ya movies Naomba kujuzwa kwa wenyeuutaalamu kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies huwa kina maana gani hasa je? Kisipo wekwa nn kitatokea ktk...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Inaashiria baadhi ya wasomaji wa haya magazeti ni wateja wazuri wa hawa wataalamu wa tiba asilia. Matangazo yanayoshika chati ni pamoja na; 1) Kuongeza nguvu za kiume 2) Kuleta mvuto wa mapenzi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani kuna vijana wa sheli ya GBP branch ya mbezi aisee wanapiga sana wateja Mfano ni mimi mwenyewe nimepigwa saa kumi na mbili hii, wadau mnaohusika chukueni hatua vinginevyo ipo siku mtasikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Raia Mwema ni gazeti la uchambuzi wa kisiasa na wakijamii lina wachambuzi waliobobea kama Mbwambo, Generali Ulimwengu, Majid Mjengwa, Chahali wa uskoch, Hemed yule mzanzibar, Ezekiel Kamwaga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu hivi tutapambana na hawa jamaa kiuchumi kama wataweza kufanya hii project. SISI URANIUM TUNAYO MADINI AMBAYO YANARUTUBISHWA ILI KUPATA MIOZI YA KUENDESHEA MITAMBO NI KINU TU NA HAKIPO...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello, nimependa na wewe mwenzangu usikilize hadithi nzuri. Utafurahi naamini. Ili usipitwe na hadithi tamu na nzuri nyingi kama hizi, unakwenda download Hadithi App kutoka PlayStore kwa kubonyeza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) aliyefahamika kwa majina ya Kumbusho Dawson ameweza kuuonyesha ulimwengu mzima kuwa usomi wa chuo kikuu ni suala la Udadisi, Ujasiri na uchunguzi...
26 Reactions
110 Replies
13K Views
Habarini bandugu,Niko Mbeya maeneo ya Mbalizi kikazi,mida hii nikiwa nipo mahali najaribu kusahu FRUSTRATION zangu mara ghafla na kutana na bia dume zao za TBL bia BINGWA,kwa kweli nilikua sijui...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kituo kipya cha magari yanayosafiri kwenda mikoani Bukoba mjini (kagera) katika ujenzi na mkandarasi akiahidi kua hadi mwezi wa pili watakua washamaliza ujenzi na (stand) hiyo itaanza kufanya...
1 Reactions
15 Replies
50K Views
Wakuu Maisha ni mapambano ila kwangu mbona kila nachofanya kinaenda kombo yaani miloss tu, mpaka sasa nakata tamaa ya kufanya haya mabiashara, Hivi na nyinyi mliotoboa kwenye biashara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta nani na wapi hapa mjimwema kigamboni wanapofyatulia nguzo Kwa ajili ya fensi simu Kwa mawasiliano 0752334403 .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nina ndugu anahitaji kusafiri kwa moja ya mashirika ya ndege kutoka Dsm kwenda Mwanza hivi karibuni, swali ni kwamba; Shirika gani la ndege lina bei zenye unafuu ikiwa mtu anasafiri...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Naomba msaada shut off button haifanyi kazi labda utumie right click, au control-alt-delete then utumie button ya upande wa kulia ndio utaweza kuizima. Nipo kariakoo wapi ntampata...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari wakuu, kwanza nitoe pole kwa raia, viongozi na vyombo vya ulinzi kwa yanayoendelea kibiti. Hata kama kwa kosa gani bado halifanani na uhai wa mtu. Polisi wanauawa, viongozi wa kiserikali...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Sina Alama ya siasa ila matendo yangu na fikra zangu zina itikadi ya kisiasa. Naichukia Siasa mnayoiita Democracy kwa lugha ya kizungu, siasa mnayosema inaleta Amani kumbe ndio chanzo kikubwa cha...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge. Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam...
6 Reactions
161 Replies
22K Views
Leo nimedhihirisha wazi kuwa ni hatari sana njaa kuitoa tumboni na kuihamishia kichwani; inaharibu akili yote. Kisa hiki cha njaa kwa sasa kinasadifu vyema maisha ya mwanasiasa kijana machachari...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Nilazima tufahamu hili ushindi haupatikani kiwepesi. Kwahiyo basi kila mtu tupambane katikk maisha ili tushinde (UMASIKINI) je, wewe utapambana
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina ndugu yangu alisafiri kwenda kijijini kakaa miezi 3 katika miezi 3 aliyokaa hakuwa na mawasiliano na alienda kumuuguza mama yake mzazi lakini wakati anaondoka mwezi huo alioondoka alitakiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naona wana lumumba mnatamani Sana ifikapo 2020 pasiwepo na mbunge wa upinzani yeyote Yule, basi fanyanyeni jitihada hizo mfanikishe bunge libaki la ndiyo Mzee then 2025 watanzania wanasubili...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom