Huwezi kuamini kwamba mamlaka ya maji iArusha inayokusanya Pesa kama njugu jijini Arusha ndio inaongoza kwa kushindwa kuwanunulia vitendea Nazi wafanyakazi wake hasa waliopo kitengo cha maji...
RATIBA YA BABU SEA NA PAPII WIKI HII
JPili-Ibada kanisa St Joseph
Jtatu-Uzinduzi wa Supermarkert Mlimani city
Jnne-Uzinduzi Chuo Cha wauguzi-Mwanza
Jtano-Mahojiano Cluds Tv na Kutengeneza Tangazo...
Kuishi town kazi sana
Watu wanaishi maisha ya kujionyesha angali hali zao za kiuchumi haziendani
Ukitaka kuona wanavyoteseka mwambie Nakuja mjini naomba nifikie kwako kwa siku mbili tatu...
WALIVYOTIWA MBARONI
‘Babu Seya’ na ‘Papii Kocha’ walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi Mashujaa, Sinza...
CHOZI LA BABU SEYA BADO LAITESA SERIKALI YA CCM; BABU SEYA AMWAGIZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KWENDA KUMUOMBEA MSAMAHA KWA JK.
Kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA...
Mitandao yote ya simu iliyotajwa ina huduma ya kupokea na kutuma fedha. Halotel siijui sana maana haijafika huku bush Naibili.
Huduma hizo za fedha -M-pesa, Tigo-pesa na Airtel money zinamsaidia...
Ninatokea Mbeya, Haya magari yanakimbizwa Na yanashindana. Polisi njiani wanaangalia tu mtanange huu wakifurahia, Abiria wanamhamasisha dereva achochee Kuni.
Nimemuonya dereva, Basi Zima wamenijia...
Ijumaa hiyo tena,
Ijumaa ambayo ni tofauti na nyingine nyingi sana hapa JF!
Ijumaa ambayo haina vijembe sana na kukwaruzana kupita kiasi!
Ijumaa ambayo watanzania wanasherekea kuanguka kwa...
Ninaandika haya nikiwa kwenye tafakuri na hali ya kusikitishwa na mambo mazito yanayoendelea hapa duniani.
Maamuzi ya watu wachache huwa yanagharimu maisha ya wengi wasio na uwezo wa kuamua
Na hii...
Kwa Wazalendo Wa Kweri
_____________________________
Tunalala kwenye vumbi na matope ili wewe ulale kitandani,
Tunala na bunduki ili wewe ulale na mwenzi wako,
Tunalala porini ili wewe ulale...
Naangalia sherehe za Uhuru kupitia Clouds TV nashindwa kuelewa jinsi mnavyo rusha matanganzo toka uwanja wa Jamhuri Dodoma.je hamna wapiga picha wenye uwezo wa kurusha tukio halisi kwa wakati...
Mambo ya marehemu ni mambo ya kiroho, kuna vitu vinafanyika juu ya ufahamu wa kawaida wa binadamu
Ivan kijana bilionea kaondoka akiwa mbichi kabisa..utajiri wake si jambo la kawaida sana...
Leo nchi yetu inasherekea miaka 56 ya uhuru wake tulioupata kutoka mikononi mwa Mwingireza chini ya Kiongozi Shupavu hayati mwl Julius K.Nyerere na huku hati za kupewa uhuru zikisainiwa na Ndugu...
Habari njema kwa wakulima wote wa nyanya Tanzania, kwa muda mrefu sana tumeona wakulima wa nyanya tanzania wakipoteza mitaji yao kwa bei ambazo hazina faida kabisa ila sasa hichi chama kitakuwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleimani Jaffo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wilaya ya Nkasi, Julius Kawondo kwa tuhuma za rushwa na matumizi mabaya yaliyoisababishia Serikali hasara ya...
Aanza kujenga nyumba za wageni eneo la ekari 70
Asema muujiza wa sasa ni zaidi ya tiba ya 'Kikombe'
Kijiji chamuona Nabii baada ya kutabiri mawili yakatokea
Aajiri 13 kwa 100,000/-
Baada ya kimya...
Je Biblia Inaruhusu Mwanamume Awe na Wake Wengi?
Jibu la Biblia
Kwa muda fulani, Mungu aliruhusu mwanamume awe na wake wengi. (Mwanzo 4:19; 16:1-4; 29:18–29) Lakini Mungu hakuanzisha mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.