Sheria inayompa mamlaka rais Magufuli kumuachia huru Babu Seya

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
906
426
WALIVYOTIWA MBARONI

‘Babu Seya’ na ‘Papii Kocha’ walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi Mashujaa, Sinza Dar es Salaam.

Babu Seya na wanawe walidaiwa kutenda makosa 10 ya kubaka watoto hao wa shule ya msingi waliokuwa na umri kati ya miaka sita na minane.

Mahakama iliwatia hatiani kwa makosa mengine 11 ya kulawiti watoto wa kike wenye umri huohuo kati ya Aprili na Oktoba 2003.

Juni 25, 2004, Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam aliwatia hatiani Babu Seya na wanae kwa hatia ya kubaka na kulawiti.

Januari 27 mwaka 2005, Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Thomas Mihayo alitupilia mbali rufaa yao iliyokuwa ikipinga hukumu dhidi yao.

Hukumu hiyo ilitolewa na aliyekuwa Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Addy Lyamuya aliyewatia hatiani kwa makosa yote waliyokuwa wameshitakiwa nayo Juni 25, 2004.

Awali mwaka 2004, baada ya kukutwa na hatia katika kesi hiyo, Babu Seya, Papii Kocha na wakili wao, Mabere Marando walikata rufaa ya pili ambayo ilitupiliwa mbali.

Mwaka 2010 waliomba tena rufaa ambayo marejeo yake yalisikilizwa na kutolewa hukumu Februari 2010.

Mahakama iliridhia hukumu ya kifungo cha maisha kwa Babu Seya na Papii Kocha huku ikiwaachia huru watoto wake wawili, Nguza Mbangu na Francis Nguza.

KIPI KINACHO ENDELEA?

Machi 11, Mwaka huu Rufani ya kesi yake ilitua kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) na haikusikilizwa kwenye mahakama ya wazi.

Sasa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania Rais aliyopo madarakani ndiye mwenye mamlaka pekee ya kumuachia huru.
 
MAGUFULI
 
Ingekuwa ni watoto wako ndiyo walikuwa wananajisiwa na hao wafungwa ungesema hivyo?????kumbuka watoto hawatoagi ushahidi wa uongo
ww unahakika gani kwamba alifanya kweli na ninan alie kuambia watoto hawasemi uongoo ww umefatilia kwa kina kesi yake au unasema tu usiwe mshabiki kwana na ubinadamu na ufikiriee kuwa yule mzee hakuwa na akili kuwafanya watoto na mtoto wake ww hufikirii hapo
 
Msamaha wa Raisi hauwahusu wenye makosa ya ubakaji,unyang'anyi wa kutumia silaha,uhaini,uuwaji na makosa mengine yoote makubwa ambayo hupelekea adhabu za muda mrefu au kifo...wanaachiwa watu wenye makosa ya kawaida sana na pia waliotumikia kwa kiwango flani
 
ww unahakika gani kwamba alifanya kweli na ninan alie kuambia watoto hawasemi uongoo ww umefatilia kwa kina kesi yake au unasema tu usiwe mshabiki kwana na ubinadamu na ufikiriee kuwa yule mzee hakuwa na akili kuwafanya watoto na mtoto wake ww hufikirii hapo
nawewe una uhakika gani kama hafanya, hujawahi sikia shekhe flan kule Zanzibar alibaka
 
Mh wewe kweli Bongo lala,nani kakwambi watoto hawasemi uwongo?? Sasa ushahidi wa watoto huwa una mashaka mno kortini na ndiyo maana kabla ya kutoa ushahidi wanafanyiwa kitu kinaitwa voledaire test ,mahakama ikijiridhisha na uwezo wa mtoto wa utambuzi ndio huchukua ushahidi,kwa ufupi watoto hawaaminiki wakati mwingine huweza hata kushindwa kutofautisha ndoto na mambo halisi,though sipingi kuwa hawajalawitiwa ,yawezekana ni kweli.
 
basi inavo onekana wewe hata dini huna, maana huamini mpaka uone.
katika mambo ya kumsingizia mtu hasa katika mambo hayo ya uzinzi sitoamin kamwe mpaka nione hatakama niona mm peke yangu itabaki kuwa siri yangu siwez kumtangazia kwa sababu katika din yangu ninaamin kuwa ukimwambia mtu amezin mpaka mashahid 4 kinyume na hapo ushahid wako haukubaliki na vile vile utapewa adhabu kwa hiyo sitaa kuamin haya n
 
Back
Top Bottom