Wawili wanakuwa mwili mmoja

Wawili wanakuwa mwili mmoja

Rekondoboshiki

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
228
Reaction score
281
Je Biblia Inaruhusu Mwanamume Awe na Wake Wengi?
Jibu la Biblia


Kwa muda fulani, Mungu aliruhusu mwanamume awe na wake wengi. (Mwanzo 4:19; 16:1-4; 29:18–29) Lakini Mungu hakuanzisha mpango wa mwanamume kuwa na wake wengi. Alimpa Adamu mke mmoja tu.

Mungu alimwagiza Yesu Kristo akazie mpango aliokuwa ameanzisha awali wa mwanamume kuwa na mke mmoja. (Yohana 8:28) Yesu alipoulizwa kuhusu ndoa, alisema hivi: “Yeye aliyewaumba hao kutoka mwanzo aliwafanya mwanamume na mwanamke na kusema, ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”Mathayo 19:4, 5.

Baadaye, mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu aliongozwa na roho ya Mungu kuandika hivi: “Kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.” (1 Wakorintho 7:2) Pia, Biblia inasema kwamba katika kutaniko la Kikristo ni lazima mwanamume aliyefunga ndoa na ambaye ana majukumu ya pekee awe “mume wa mke mmoja.
Umejitahidi kwa kiasi flani kumjibu huyo ndugu ila umepotosha uliposema "... kwa wakati flani Mungu aliruhusu ndoa za wake wengi". Ukweli ni kuwa MUNGU HAJAWAHI KURUHUSU NDOA ZA WAKE WENGI!!!! NA KAMWE HATOKAA ARUHUSU UZINZI HUO
 
Umejitahidi kwa kiasi flani kumjibu huyo ndugu ila umepotosha uliposema "... kwa wakati flani Mungu aliruhusu ndoa za wake wengi". Ukweli ni kuwa MUNGU HAJAWAHI KURUHUSU NDOA ZA WAKE WENGI!!!! NA KAMWE HATOKAA ARUHUSU UZINZI HUO

Hata hiyo ya mmoja ni dhahania tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom