Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,186
- 56
Ijumaa hiyo tena,
Ijumaa ambayo ni tofauti na nyingine nyingi sana hapa JF!
Ijumaa ambayo haina vijembe sana na kukwaruzana kupita kiasi!
Ijumaa ambayo watanzania wanasherekea kuanguka kwa Lowasa.
Haijalishi kama Lowasa atapewa kazi ya Ugavana wa BoT au ulinzi,
Kilichotokea wiki hii kinafaa kabisa kusherekewa kwa nguvu zote.
Lowasa hakutegemea kamwe kuwa wingi wa pesa zake utamnyima raha.
lowasa kaangukia pua dodoma na sasa anakimbiwa na kuchekwa,
Watanzania wote ni furaha kwa sababu huu ni mwanzo wa huo mwisho!
Lowasa pesa zako hazikufua dafu katika hii tsunami yenye nguvu.
Mwanakijiji vipi ukiandaa bash Detroit? Mazee GQ vipi Chicago?
The son of Ngabu kuna nini jiji linalozizima weekend hii?
It is time to celebrate! Ushindi wa wana JF na wapigania haki!
Lowasa is no more, amekwenda na tutahakikisha anaishia Keko.
Rostam Azizi jiandae kwani wewe ndio unafuatia katika hili!
Kazi imeanza, inatimizwa na itaendelea kufanyika - alutacontinua
Hata hivyo, mwafrika wa kike amekubali kumlipa Lowasa 84 cents kwa kumlazimisha Kikwete kuvunja baraza lake la mawaziri.
Weekend njema kila mtu na sherehe njema!