Nimeshangaa sana leo umeme haujakatika kutwa nzima, nimedokezwa kuwa Tanesco walikuwa wanatoa fursa kwa Watanzania kupitia TBC1 washuhudie akina Masha na wenzake wanavyorudi CCM.
Hakika chama...
Habari wakuu.
Mwaka ukiwa unaelekea mwisho kabisa kuna kauli au misemo iliyovuma zaidi kwa mwaka huu 2017.
Naomba tujikumbushe maneno yaliyotrend zaidi kwenye social media kwa mwaka 2017.
Mimi...
Muda si mrefu uliopita, msafara wa Mheshimiwa Rais kuelekea Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru, umegonga mtu, na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze Roho ya...
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Rufaa wakifuatilia hukumu hii ambayo Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu kubwa kusikia Babu Seya, Papii Kocha wako huru,
I am +VEly thinking of...
A UN peacekeeping mission base in Congo has repelled an attack by insurgents of the Allied Democratic Forces, according to radio station Okapi, which is linked to peacekeepers.
UN spokesperson...
Je ni sahihi kikatiba na sheria za tanzania, raisi kusamehe waliohukumiwa kunyongwa. kama ni sahihi nin mtizamo wenu wajamvi inapotokea ukakutana na mtu aliyeua mpendwa wako alaf eti kaachiwa kwa...
Habari wapendwa....
Simu yangu ya Huawei G7 inatatizo week sasa, haiwaki ukichaji inawasha Sensor tu kuashiria inachaji lakini ukiiwasha inaandika tu huawei ascend inakaa hivyo hivyo mpaka chaji...
Habari za majukumu wakuu na wadogo.
Tunatambua kwamba mji wa Madina unajulikana kwamba ni uwarabuni hilo halina ubishi.
Ila kuna kasehemu ambapo palipatikana kwa jina hilo, ambayo ndo makao makuu...
na Happiness Katabazi
MWANAMUKIZI wa muziki wa dansi nchini,Nguza Vicking ‘Babu Seya' na mwanaye Papi Kocha ‘Mtoto wa Mfalme', wameiomba Mahakama ya Rufaa nchini iipitie upya hukumu...
Mwanamuziki wa muziki wa dansi nchini, Nguza Vicking ‘Babu Seya' na mwanaye Papi Kocha ‘Mtoto wa Mfalme', wameiomba Mahakama ya Rufaa nchini iipitie upya hukumu yake iliyoitoa Februari...
Heshima kwenu Wana jamii
Kulikuwa na uzi ule unaohusu msanii babu seya kufungua kesi mahakama ya Africa nadhani kupinga HUKUMU aliyopewa kwenye mahakama ya rufaha. Wengine walimtetea kwa kudai...
Moshi ni mji wa kitalii.Mji ulioanza kuona wazungu hapa Tanzania.
Pombe kali na kitimoto rosti ni wengi sana bila kujali jinsia. Watoto wadogo na vibinti vinakula pombe sana.
Vijiwe maarufu vya...
Wakuu kama kuna kanda hatujuii kuita majina basi sisi wa mbali na bahar tunaongoza mfano
Henry tunaita henure
Cliff tunaita kilifu
Frank - furee au furankii
Mengine mtanisaidiaa
Polisi Mkoa wa Shinyanga inafanya uchunguzi wa madai ya askari wake kula chipsi na kukataa kulipa kisha kuanzisha fujo baada ya kudaiwa fedha.
Askari hao zaidi ya watatu wanadaiwa kuagiza...
Huwezi kuamini kwamba mamlaka ya maji iArusha inayokusanya Pesa kama njugu jijini Arusha ndio inaongoza kwa kushindwa kuwanunulia vitendea Nazi wafanyakazi wake hasa waliopo kitengo cha maji...
RATIBA YA BABU SEA NA PAPII WIKI HII
JPili-Ibada kanisa St Joseph
Jtatu-Uzinduzi wa Supermarkert Mlimani city
Jnne-Uzinduzi Chuo Cha wauguzi-Mwanza
Jtano-Mahojiano Cluds Tv na Kutengeneza Tangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.