Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA),aibu tupu

Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA),aibu tupu

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
757
Reaction score
1,822
Huwezi kuamini kwamba mamlaka ya maji iArusha inayokusanya Pesa kama njugu jijini Arusha ndio inaongoza kwa kushindwa kuwanunulia vitendea Nazi wafanyakazi wake hasa waliopo kitengo cha maji taka(wazibua mitaro na chemba)

Wafanyakazi hao ambao wengi wao ni wale wenye umri mkubwa nathubutu kusema wametelekezwa kutokana na kazi yao kuonekana isiyo na hadhi.

Huwa nashuhudia ugumu wa kazi yao pale inapotokea chemba kubwa ya maji taka iliyoziba baada ya kuwakuta wakishika vinyesi ,jambo ambalo ni hatari sana kwa afya zao ndo maana baadhi yao utakuta afya zao haziendani na wafanyakazi wengine wa mamlaka hiyo.

Niwajibu wa Mkurugenzi wa Auwasa kuhakikisha changomoto hii inaisha .

Tazama Picha hii ya mfanyakazi wa Auwasa.

4e1f77f2e42964fbd7cddcb49aeaecc7.jpg
 
Huyu uliyeweka picha yake hapa anajua hilo?

Usitake kusambaza picha za watu wakiwa kwenye majukumu yao ya kuwapa riziki.
 
Naishi Arusha, NIMEKUTANA NA WENGI sana walio na vifaa vizuri na vya kisasa!
 
Back
Top Bottom