Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasikitisha sana kuona watendaji wa DAWASCO Mbezi Beach wanakuwa wazembe kiasi hiki kuna bomba la maji limepasuka Barabara ya Shule karibu na St, Aloysious Nursery & Primary School tangu Alhamisi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika Sura hii inaonesha ni kwa kiasi gani Bishop Zachary Kakobe alivyogonga vichwa vya habari vya media mbalimbali. Lakini pia serikali kupitia taasisi zake inaendelea kuonesha hali ya...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania?? kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Sisi ndio wanaume wa Dar, Wanaume wa dar hatutaki shida kabisa, si kwetu vitu mtelezo kama tunateleza kwenye ganda la ndizi ndivyo tunapenda na hapo ndipo tofauti yetu kubwa kati ya wanaume wa Dar...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia: 1.Mifereji huko Verdun (Ufaransa) baada ya kulimwa kwa mizinga mikubwa; 2. Ndege za kijeshi na faru za kwanza; 3. bunduki ya mtombo na manowari Ramani ya dunia...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Kadiri siku zinavyosonga idadi ya vijana wanao enda kwenye nyumba za ibada inazidi kupungua, hii ni hasa vijana wa miaka 19 hadi 36 sababu ya maana haieleweki na wanaohudhulia ni watoto na wazee...
3 Reactions
69 Replies
11K Views
Kiongozi wa dini kama atakuwa mfungwa wa mfumo hataweza kumwakilisha Yesu au dini yake bali ibilisi, kiongozi wa dini anapaswa kufanya haki na si kukaa upande mmoja. Taifa linapaswa kujifunza...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Nashauri Mamlaka ya TCRA kuboresha huduma ya mobile number portability ili mtu apatikane kwa namba moja tu, hata kama atakuwa nazo nyingi, ili nyingine zibaki ni sub numbers; Pia iweke utaratibu...
1 Reactions
4 Replies
689 Views
Lipo hili dubwana linaloitwa TANESCO,I have terribly bad experience with it, sijui ni mimi tu,I don't know.From kudaiwa hata bolts,mabomba nk.wakati wa kuwekewa umeme,kulaliwa bila kupata...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wale wadau wa kilaji cha Windhoek beer tukutane hapa. Tubadilishane mawazo namna ya kuianza 2018.nini kifanye kiongezwe nn kipungue. Kwa wale waliozoea bia za buku buku Naomba msichangie chochote...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii si dhambi kufanya hivyo ni ile hali tu ya kuzidiwa na mambo na kuchukuliwa kwenye ngoma yenye mirindimo mingi na kwa vile tuko ndani ya mduara hatuna budi kwenda na midundo ya mpigaji Kwenye...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Imekuwa ni utaratibu mpya zama hizi, serikali na idara zake kusoma nini kimetokea mitandaoni ama kuna mjadala gani na wao kuja na majibu kwa mtindo huohuo ama kuandaliwa hafla fulani na huko...
21 Reactions
92 Replies
7K Views
Habari wakuu,.. Mwaka unaelekea ukingoni huku Kila mmoja akiwa na mengi ya kukumbuka kuhusu mwaka huu 2017. Kuna matukio mengi Sana yametokea na kuacha historia katika uso wa dunia. kwa upande...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii imenitokea Mara kadhaa pale ninapoweka salio , huwa napenda kununua salio kupitia Mpesa au Tigo pesa , lakini ukinunua salio bila kujiunga kifurushi unakuta tayr wamekata pesa kidogo kuanzia...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Msaada wana jf nahitaji kumtumia e mail mh. Rais mwenye nayo anisaidie maana nimechoka na haya mambo yanayofanywa na watu wachache ambao hawajali watu wengine tafadhari mnisaidie
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Tanzania kama sehemu ya utamaduni wake, Alhamisi tarehe 28 Desemba 2017 ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kanisa la...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Kanisa moja huko nchini Africa ya kusini fundi mitambo kachanganya flash kwenye mkesha wa Christmas na kuweka flash ya x
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya kuyasikiliza matamshi ya Askofu Kakobe kwa muda mrefu nimejariub kuangalia kama kweli ni msukumo wa kitumishi au kuna kitu kingine kinachoweza kumsibu. Wengi tumefanya kazi za Mungu na...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF Kuna swala nimeona nilisogeze kidogo hapa,Jana (Ijumaa 29 Dec, 2017) Waziri wa fedha na mipango DR. Fillip Mpango alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mwenendo wa hali...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Back
Top Bottom