Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Katika Sura hii inaonesha ni kwa kiasi gani Bishop Zachary Kakobe alivyogonga vichwa vya habari vya media mbalimbali.
Lakini pia serikali kupitia taasisi zake inaendelea kuonesha hali ya kutotaka kukosolewa.
[emoji116]
[emoji116]
[emoji116]
[emoji116]
[emoji116]
[emoji116]
[emoji116]
[emoji116]
Asiyeumbwa kweli haumbuki, ila pia msema kweli ni mpenzi wa MUNGU!
ninachojua mimi ni kwamba, mtu akiwaambia watu wakatubu amehubiri Injiri, wala hajafanya siasa, maana kwenye vyama hakuna Toba!