naanza ku side na serikali...........

naanza ku side na serikali...........

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,655
Reaction score
33,590
At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k

sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??

kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru,,,

viongozi wote wa hizo taasis its time kujifanyia tathmini NI MUNGU GANI MNAYEMUABUDU?

'kweli nawaambieni ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....................(sikumbuki huo mstari unavyoishia,lol

please NIMESHATUBU,lol
 
Yani kaneno kadogo tu kuambiwa mtubu....ndo mmeweuka kiasi hcho??.......mkiambiwa hamnachura je??

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
kuwaandaa waumini wao kiroho na kuwataka kulinda amani ni msaada mkubwa sana. tofauti na hapo kusinge kuwa na nchi inaitwa TZ.

wakisema ukweli wanaonekana hawana msaada ila wakitumiwa kuombea amani, kuwaombea watu flani wanaonekana wa maana kweli. mambo haya
 
hahaaa kwani kutubu kuna shida gani
yaani jinsi mlivyokuwa wadhambi mmeshauriwa jambo jema lakini
mnapambna kulipinga kama vile mmeshauriwa kula kinyesi

[HASHTAG]#ATUBU[/HASHTAG] tu hakuna namna
 
At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k

sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??

kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru,,,

viongozi wote wa hizo taasis its time kujifanyia tathmini NI MUNGU GANI MNAYEMUABUDU?

'kweli nawaambieni ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....................(sikumbuki huo mstari unavyoishia,lol

please NIMESHATUBU,lol
Lakini si unajua kuna maaskofu wa RC wanachunguzwa uraia wao baada ya kutoka maoni ya kukosoa serikali? Basi kama hoja ni kuleta huduma za kijamii ndo inawapa uhalali wa kuikosoa serikali hata walivyo wekeza si halali maana hawakuwa raia!
 
Timing is everything! Tatizo vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa kushtukizwa. Hivi kweli kulikuwa na ulazima gani wa CG wa TRA kujiingiza kwenye hii episode? kwa nini asingefanya kimya kimya au akaamua kupeleleza makanisa yote yanayoonekana kwenda kinyume na sheria za nchi-kama yapo? Hapa ni rahisi kudhani kwamba TRA wamefanya hivi kumfurahisha bwana mkubwa. Na hii inakoleza yale mawazo kwamba vyombo vyote vya dola vinafanya kazi kwa kumuogopa na kumfurahisha JPM. Rightly or wrongly.

Lazima institutions zetu zijifunze kufanya kazi kwa weledi.
 
Kutubu kupo pale pale
 
Kwani usajili wa hizo taasisi unazidai kujenga shule na hospital, kujenga ama kutokujenga ni maamuzi ya kanisa na sio lazima. Lengo la hizi taasisi ni kuwajenga watu kiroho zaidi. Jamii ikijengeka kiroho hata uhalifu utapungua, uhalifu ukipungua ni faida kwa serikali
 
Lakini si unajua kuna maaskofu wa RC wanachunguzwa uraia wao baada ya kutoka maoni ya kukosoa serikali? Basi kama hoja ni kuleta huduma za kijamii ndo inawapa uhalali wa kuikosoa serikali hata walivyo wekeza si halali maana hawakuwa raia!

Maaskofu wameisaidia jamii kuliko hata wazawa,hivyo wapewe uraia,other wise kusema walivyowekeza si halali,wakati jamii imefaidika sana na michango yao nakua sikuelewi ujue,

second,hapa nimefanya comparison,kati ya kanisa katoliki na taasis nyngine za dini,wamewekeza kwenye nini???,iwe halali au sio halali?
 
Timing is everything! Tatizo vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa kushtukizwa. Hivi kweli kulikuwa na ulazima gani wa CG wa TRA kujiingiza kwenye hii episode? kwa nini asingefanya kimya kimya au akaamua kupeleleza makanisa yote yanayoonekana kwenda kinyume na sheria za nchi-kama yapo? Hapa ni rahisi kudhani kwamba TRA wamefanya hivi kumfurahisha bwana mkubwa. Na hii inakoleza yale mawazo kwamba vyombo vyote vya dola vinafanya kazi kwa kumuogopa na kumfurahisha JPM. Rightly or wrongly.

Lazima institutions zetu zijifunze kufanya kazi kwa weledi.

ni kweli mkuu 'maigizo' yamekua mengi mno,kila mfanyakazi anataka aonekane kwenye media ili amfurahishe mkuu,,,,,,,,,,,,,,,,ila on the other hand,sisi kama waumini tusiwafuate viongozi wa dini blindly lazima wakikosea tuseme,na wao ni binadamu kama sisi
 
katika hzo shule na hospitali ushawahi ulizia ada na gharama za matibabu? Ingawa hawalipi kodi lakini bei zao ni kubwa kuliko hata private sector. Sasa wanasaidia jamii au wanjineemesha?
 
Maaskofu wameisaidia jamii kuliko hata wazawa,hivyo wapewe uraia,other wise kusema walivyowekeza si halali,wakati jamii imefaidika sana na michango yao nakua sikuelewi ujue,

second,hapa nimefanya comparison,kati ya kanisa katoliki na taasis nyngine za dini,wamewekeza kwenye nini???,iwe halali au sio halali?
Wanafuatiliwa urai wao kwa sababu tu wanamkosoa mkulu....kwa mantiki hiyo wanataka kutuaminisha kuwa inawezekana shughuli walizozifanya kwa kipindi chote sio halali...kitu ambacho si kweli ni ubinafsi wa wanasiasa tu! Kuna askofu wanasema wanamchuguza ulipaji kodi wake muda mfupi tu baada ya kukosoa cha kujiuliza bila hivyo wasingefanya kazi yao ya ukusanyaji kodi?

Ni bora ungekuwa bayana kutaja hata hizo taasisi za kidini unazosema haziwekezi kwenye huduma za kijamii kama ulivyo itaja RC kuwa inawekeza.
Ni kweli RC imewekeza sana kwenye huduma mbalimbali za kijamii ( shule, hospitali, umeme, vyuo nk.) hii ni kutokana na historia ya kanisa hapa nchini ni duniani kwa ujumla.

Lakini pia kuna taasisi nyingine za kidini nyingi tu zinawekeza huko na kuna maeneo taasisi hizo zina nguvu sana hata kuliko RC kutokana na historia ya sehemu husika hasa kwa kuzingatia ni nani alikuwa wa kwanza kuingia eneo husika, hadi sasa najua Mashahidi wa Yehova pekee ndo hawana sera ya kuwekeza kwenye huduma za kijamii!
 
Tuache kuwa na kiburi cha uzima.

Afya zetu zilipoyumba tulisafiri kwa upole na unyenyekevu kufuata tiba ya kikombe cha babu Loliondo, tulipanga mistari mirefu kwa upendo.

Tulipo pata nafuu tu, tulipiga push up na kujigamba hadharani huku moyoni tukiwakebehi tuliowaona na kuamini kuwa ni wadhaifu kiafya tukisahau udhaifu wetu uliotupeleka Loliondo

Kutubu hakuhitaji kutumia nguvu kama za kupiga push up.

Kutubu ni dhamira ya dhati ya ndani ikiambatana na unyenyekevu na nia ya kweli, ndio maana baadhi ya dini hupiga magoti kuonyesha kujishusha.

Kupiga magoti na kutubu ni rahisi zaidi kuliko kupiga push ups.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom