Msaada wa mwenye email ya Rais

sima salva official

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
210
89
Msaada wana jf nahitaji kumtumia e mail mh. Rais mwenye nayo anisaidie maana nimechoka na haya mambo yanayofanywa na watu wachache ambao hawajali watu wengine tafadhari mnisaidie
 
Msaada wana jf nahitaji kumtumia e mail mh. Rais mwenye nayo anisaidie maana nimechoka na haya mambo yanayofanywa na watu wachache ambao hawajali watu wengine tafadhari mnisaidie
Chukua gari za kutoka hapo ulipo... Nenda hadi ubungo... Alafu chukua daladala ziendazo magogoni....

Email ya mh.Rais huwezi ipata humu...

Fata ushauri wangu
 
Back
Top Bottom