Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"masikini afilisiki" Jamaa sijui aliwaza nini...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
I. Bashite II. Bavicha III. Kamanda IV. Chattle V. _ _ _ VI _ _ _ Heri.ya 2018
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimewai soma na Kama watano hivi na nimekutana na wengi mtaani, viganja vyao wakitembea vinanin'ginia kama si vyao vile, kama vimekatika vile, Mara nyingi wapo vizur kichwani.
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Utendaji wa kazi kwenye hili tawi ni tatizo kubwa. Unaweza kukaa kwenye foleni masaa 2 unagojea huduma Tellers wanafanya kazi kama hawataki.Wakati huohuo madirisha mengine ya huduma yamefungwa.Je...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Poleni na majukumu ya kila siku. Msimu huu ni msimu wa sikukuu na mara nyingi familia nyingi hupenda kwenda kula sikukuu majumbani kwao walikozaliwa maarufu kama "kwenda kuhesabiwa..". Wengi...
22 Reactions
59 Replies
6K Views
Masaa machache tu yajayo yamebaki namba zibadilike tuuage mwaka 2017 na kuanza mwaka 2018 kwa kishindo na malengo mapya na kuyakamilisha au kama kuna ya 2017 yaliyostack basi ni kuyabadilishia...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Wanajamii, Kuna habari zinazunguka kuhusu hali mbaya ya mabenki yetu hapa Tanzania. Wengine wanasema benki hii iko katika hali mbaya na wengine wanasema benki ile iko katika hali tete. Mimi kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Asalaam wana jf. Msimamo wangu mwaka huu ni kwamba sitoi msamaha Kwa MTU na Wala siitaji MTU anisamehehe , bifu tulibebe twende nalo hadi mwaka 2018. Kila mwisho Wa mwaka huwa naomba msamaha Mimi...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Hizi ni kodi ambazo zinavuruga au zinahujumu uchumi. Kwa mtazamo usio wa kina zinaweza kuonekana kama kodi za kuchangia mapato ya serikali lakini ukichunguza vizuri utaona kwamba zinapunguza sana...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wana JF Zikiwa yamesalia masaa machache tuuage mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018. Leo nimeona nitembelee hiyo sehemu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari, kwani...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Katika maisha yangu mwaka huu ndio kwa mara ya kwanza nikiingii mwaka mwingine nikiwa sina kazi ya aina yoyote ya kuniingizia kipato mwaka mpya huu umekuwa wa majonzi sana maana nilikuwa...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Habari wakuu Mwishoni mwa mwaka nimeamua kuitumia likizo yangu fupi kufika jijini Dar es salaam, basi kipindi nipo mkoani nilikuwa nawasiliana na rafiki zangu (wanaume wa dar) wa kitambo kama...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
January 1st, 2018 is a Monday. A fresh week, fresh month and a fresh year. If you want to start over, you cannot possibly find a better time.
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Habari wanajamvi! Wakati mwaka unakaribia kukatika na kuukaribisha mwaka 2018, Kipekee kabisa nataka kuwashukuru wakurugenzi wa Jamiiforums na wanajamvi wote. Hakika mmeniondolea uwezekano wa...
3 Reactions
1 Replies
781 Views
Kipindi Maalumu Cha Maswali Na Majibu Na @hpolepole Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook Leo Saa Kumi Na Mbili Jion USIKOSE
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salam wakuu. Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea...
8 Reactions
220 Replies
25K Views
Tangu awali kimaandiko haikuwa hivyo. Ukisoma "Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja. Mwanzo 1:5" Maandiko yanasema "Ikawa JIONI ikawa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Serikali ya Japan inasaidia watoto yatima au walipoteza mzazi mmoja kuweza kusoma mazomo ya chuo kikuu Japani. Kama unamjua yeyote na mwenye vigezo mpatie link hii afanye application, mwisho wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar va'ndg 2017 umekua mwaka was matukio yenye sura tofaut tofaut yakiwepo ya kusikitisha, kufurahisha, kutia moyo na mengine mengi...niyakumbukayo mimi in:- 1. Kupigwa risasi kwa mbunge wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirika la ndege la fastjet linatarajia kupokea ndege yake aina ya ATR72-600 hivi karibuni. ATCL wakae chonjo Kwa mujibu wa mtandao wa Skyliner Aviation, ndege hiyo inaonekana ikiwa tayari...
17 Reactions
84 Replies
12K Views
Back
Top Bottom