Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,839
- 20,685
Lipo hili dubwana linaloitwa TANESCO,I have terribly bad experience with it, sijui ni mimi tu,I don't know.From kudaiwa hata bolts,mabomba nk.wakati wa kuwekewa umeme,kulaliwa bila kupata concession yeyote huku nikiwa nimeweka transformer mwenyewe, kutowekewa metre ya luku ambayo nimelipia,kuchelewa kuunganishiwa umeme,kukatika katika kwa umeme bila maelezo yeyote,matengenezo kuchelewa kukiwa na shida,mechanical managers nk.nk.,the list is long.
Leo kwa bahati mbaya tatizo la muda mrefu na sugu la kukatika katika kwa umeme limejirudia,tena bila maelezo yeyote kama sheria inavyotaka.Umeme umekatika saa mbili leo asubuhi na mpaka sasa saa tano na nusu usiku,umeme haujarudi.Kwa bahati mbaya TANESCO ni wepesi sana kudai sheria zizingatiwe na wateja wao.Hata hivyo wao wanapotakiwa kuzingatia sheria na taratibu,huwa wagumu sana kufanya hivyo.Tunawaomba TANESCO wazingatie sheria na taratibu.Kunapokuwa na matatizo wawaarifu wateja wao promptly na kuwaomba radhi, ili ku- maintain mahusiano mazuri na wateja.Kwa mantiki hiyo tunawaomba TANESCO watupe maelezo kwa nini kumekuwa na katizo la umeme leo na watuombe radhi for the unconvinced caused by the lack of power.Muhaji please, come out of the closet and talk.