Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

miaka mingi sasa imepita toka 2011 nilianza kuperuzi na kusoma mada za jamiiforums lkn sasa nimeona nijiunge rasmi naona kunakamtindo ka kuwakaribisha watoto wa kike kwa shangwe mlume ndago hapa...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Mambo vp wadau hivi mtandao wa airtel una kifurushi cha sms? tu kama ilivyo kwenye voda yaan sh. 1500 sms bila kikomo mwezi mzima. na kama ipo kwa airtel naomba kujua namna ya kununua
0 Reactions
3 Replies
891 Views
. Asalam waleykum, bwana yesu asifiwe na tumsifu yesu Kristo ndugu zangu leo nimeona nianze kwa kuwasalimu mkiwa mnajiandaa kuagana na mwaka 2017 na mkiwa tayari kuupokea mwaka 2018 leo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nape ameamua kuwasha moto wa kufungia mwaka 2017 baada ya kuandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa nguvu haiwezi kuwa chanzo cha amani popote Duniani ujumbe uliombatana na picha ya kunyongwa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Kampuni hiyo imesema gharama zake zilizonukuliwa kutoka TCRA zimejumuisha kodi ya ongezeko la thamani (Vat) ambayo kwa kampuni nyingine washindani hazijawekwa. Dar es Salaam. Baada ya taarifa ya...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
HAKUNA HUDUMA--- Mkazi wa Kigoma Ujiji akipita katika sehemu ya vibanda vipatavyo 1,000 vilivyofungwa juzi na halmashauri ya manispaa baada ya wafanyabiasha kushindwa kulipa tozo mpya ya Sh50,000...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
1) Mapato na Matumizi ya kila mwezi ya serikali kupitia TRA. 2) Kuoneshwa salary slip ya Raisi Mawee.
0 Reactions
3 Replies
681 Views
Habar za jioni wana jf wenzangu Natumaini ni wazima wa afya njema Nilikuwa na mpenzi Wang ila tuliachana kama miaka mitatu iliyopita baada ya yeye kuamua kuolewa na bwana mwingine Baada ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sijawahi ingia vyoo vya kike baa Hivi huwa vipo vipi? Wamewekewa vya juu waweze kuchuchumaa au vikoje?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mnazi mmoja sio Salama kwa mkesha wa mwaka mpya, Nendeni Uwanja wa Uhuru" Mchana huu Kamati ya maandalizi ya wanajiita Crossover Night & Anointing Service ya KINAIJERIA, waliokuwa wametangaza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nionavyo mimi, ni muhimu sana kutubu ili hata tukikuombea, sala zetu zitafika vizuri. Ila kushauriwa kutubu badala ya kukubali na kupokea ushauri,mnaanza kututisha. Daaah..!!!
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji bajaji (3 wheels), TVS KING Mpyaaaaaaaaaaaa. Kwa mwenye nayo au mwenye taarifa zake ani PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imebainisha kuwa pato la taifa kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2017 imeshuka na kusababisha taifa kumaliza na wastani wa ukuaji wa uchumi kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na asilimia ukuaji wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu Vijijini wapo bize mwaka mzima wanalisha mbuzi na ng'ombe majani na wewe upo mjini mwaka mzima unalisha mademu chips kuku na bugger halafu mwisho wa mwaka unarudi bush unataka kuchinja mbuzi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mzuqa wanajf We are ending the year in style. Kwaanzia Makinikia, expanshen joint. Tumedhihirishiwa kabisa watu wataalam wa kukariri wanafosi Hadi PhD wanapata. Imetukatisha Hadi tamaa wengi wetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara zote tumekuwa ni watu wa kubishana tu pengine bila uelekeo kamili nje ya milengo ya kisiasa na tukumbuke elimu ya uraia inazidi kuongezeka kwa wananchi kadili upinzani unavozidi kukuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi ili nitofautishe dini na siasa wadau. Yale maombi yanayopewa jina maombi ya taifa au kuombea taifa huwa ni Kidini au Kisiasa?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi wanaJF Nataraji hatujambo : Hivi kuna uhusiano gani Kati ya kuwa mwanaharakati na kuwa kiongozi (kushika madaraka ya nchi) au unaweza kuwa mwanaharakati afu ukashindwa kuongoza nchi ??? Nini...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
  • Closed
Habari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda. Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
7 Reactions
143 Replies
16K Views
Wakati tukiwa tumebakiza muda mchache tuumalize mwaka 2017 na kuanza mwaka 2018. Katika pitapita zangu nimekutana na mjadala huu kama unataka kutimiza ndoto zako na kuuanza mwaka vizuli tuu hizi...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom