Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Nashauri Mamlaka ya TCRA kuboresha huduma ya mobile number portability ili mtu apatikane kwa namba moja tu, hata kama atakuwa nazo nyingi, ili nyingine zibaki ni sub numbers;
Pia iweke utaratibu wa kuwabalansia gharama watumiaji ili iwe na mfumo wa HALICHACHI ya tigo, ili mtu anaponunua kifurushi kisiwe na expire time.
Pia iweke utaratibu wa kuwabalansia gharama watumiaji ili iwe na mfumo wa HALICHACHI ya tigo, ili mtu anaponunua kifurushi kisiwe na expire time.