Wandugu hamjambo.
Naombeni msaada wa kimawazo,
Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,
Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000
Mwezi FEB deni lilikuwa...
Madaktari watakaoguswa na panga pangua hiyo ni pamoja na bingwa wa kinamama, watoto, upasuaji, mionzi, dawa za usingizi na mifupa.
Dar es Salaam. Wakati asilimia 60 ya madaktari bingwa...
Mwanza.
Washtakiwa wanne katika shauri la kufanya vitendo vinavyoashiria mapenzi ya jinsia moja na makosa la kimtandao wameachiwa kwa dhamana baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kutupilia...
BREACKING NEW: AJALI YATOKEA MWANZA HIVI PUNDE
Gari aina ya coaster ambalo linafanya safari zake kati ya mwanza nyegezi na katoro geita limegongana Na gari aina ya fuso(semi) idadi ya majeruhi...
Nafikiri hii tabia ya kutowajibka ndio imetufikisha happa tulipo;;ndugu zangu naona kwa tv kumbe jengo hili n ubia wa bw ladha na nhc;ndugu yangu nehe;mia tumekuwa tukiamini uwezi saini cheki...
Wakuu habari zenu,
Nimepita hapa kuwamegea kidogo mambo machache ya kustajabisha niliyoyaona wiki tatu zimepita nikiwa nimetembelea Manispaa ya Shinyanga.
Mambo yenyewe ni:-
1.Mji kuna vumbi...
Sio sababu ya kaya ndio mseme vijana wanakua wezi... Sio sababu ya kaya ndio mseme wabunge wanatukana... Sio sababu ya kaya ndio mseme Mimi Malaya.. Sio sababu ya kaya mseme vijana wamepoteza...
1. Mtu anakuona umejilaza na
macho umefunga anakuuliza
umelala?.....
Hapana najaribu kufa.
2. Mvua inanyesha halafu unatoka
nje kisha mtu anakuuliza
unakwenda na hii mvua?.....
Hapana nitakwenda...
Jibu swali lolote kati ya yafuatayo ambayo yatakuwa yamekugusa na unayo majibu.
1. Kitu gani umewahi kufanya ambacho haujivunii nacho daima?
2. Kitu gani umewahi kufanya ila unajutia siku zote...
Nilishangaa sana juzi pale wale wasomeshaji walipolipuka kwa shangwe baada ya kupewa peremende.
Lakini sawa hata watoto ukiwaletea peremende huwa wanashangilia sana.
kazi njema wasomeshaji.
Habari wanajamii forum
nimekuwa nikifatilia sana hizi tamthilia kama LEGEND OF THE SEEKER,MERLIN,na zingine zinazoendana na hizo lakini nimegundua hizi tanthilia za hawa jamaa zinatumia akili...
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai
iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani...
Wanajamvi leo mkusanya kodi amenidai kodi ya takataka kwenye kiofisi changu cha tigo pesa cha ajabu ofisi yangu haina takataka na wala sijawahi ona gari ya takataka ikipita...jamani au ni tapeli...
Wakuu nadhani kwa hali ilipofikia mtu pekee ambaye naona ataimudu wizara ya nishati ni Mh Makonda. Pamoja na mapungufu yake ila huyu bwana ni mbunifu na mpambanaji, nafikiri akipewa wizara ya...
Wakuu
Fast jet ilikuwa inasemekana ndio kampuni bora zaidi ya ndege isiyokuwa ya kiserikali lakini kampuni hii wamekuwa wababaishaji sana sasa hivi wa huduma mbovu zisizokuwa za kueleweka...
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata...
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.
Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.
Leo hii Wazazi/walezi...
Kumekuwa na wimbi la watu kuwatumia walemavu kama mtaji kwa maslahi binafsi. Suala hili limekuwa po kwa muda ila naona kama wanateswa juani wameeba vikombe na vikapu vya kuombea chochote.
Mbezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.