Ushauri: Deni langu Banc ABC limeanza upya

not found 404

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
322
250
Wandugu hamjambo.

Naombeni msaada wa kimawazo,

Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,

Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000

Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)

Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,

Je nifanyeje?

Pia Nataka wanipe balance niwalipe .

Naombeni msaada.
6.jpg[/IMG]
 
Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
623
500
Watakua wameji changanya. Ila subiri wenye ujuzi waje. Kumbuka dawa yadeni nikulipa, hakuna namna
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,554
2,000
Wandugu hamjambo.

Naombeni msaada wa kimawazo,

Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,

Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000

Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)

Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,

Je nifanyeje?

Pia Nataka wanipe balance niwalipe .

Naombeni msaada.
6.jpg[/IMG]

YANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
 
Lukwafya bhagasi

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
1,238
2,000
Wandugu hamjambo.

Naombeni msaada wa kimawazo,

Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,

Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000

Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)

Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,

Je nifanyeje?

Pia Nataka wanipe balance niwalipe .

Naombeni msaada.
6.jpg[/IMG]
Walipe tu mkuu ABC ni wahuni sana tena Fanya haraka wanaweza kukupiga double!
Komaa haraka halafu asilimia yao ya riba inakuaga juu sana.
 
not found 404

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
322
250
Linapungua, kama unayo walipe tu. Mimi walinizidishia makato kienyeji niliwawashia moto wakanirudishia mpunga wangu. Wahuni sana. Unaenda tu ofisini kwao unaulizia balance unalipa, kwisha!
Asante mkuu, walinipa mil. 6m kwa 72 months, washakata miezi kama 24, je kam nataka kulila inaweza kuwa zaid ya nusu ya deni linaloonekana,? Maana nataka kusafisha slip yng, Nimeuza kiwanja cha biashara nataka niwalipe ndg.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom