mnapewa peremende mnashangilia kama mazuzu

mnapewa peremende mnashangilia kama mazuzu

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
611
Reaction score
727
Nilishangaa sana juzi pale wale wasomeshaji walipolipuka kwa shangwe baada ya kupewa peremende.

Lakini sawa hata watoto ukiwaletea peremende huwa wanashangilia sana.

kazi njema wasomeshaji.
 
Back
Top Bottom