RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu apata ujauzito baada ya kubakwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,242
2,000
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai
iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani kuelekea nyumbani

Mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema aliipata taarifa hiyo kutoka mjumbe wa shule na kisha kumchukua pamaoja na wanafunzi wengine wanne na kuwapeleke hospitali kuwachunguza

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
11,862
2,000
Hakuna mtu aliyekejeliwa hapo. Binti kama huyu ni Wa kuonea huruma halafu mtu mwingine kwa vile ni mkubwa anadhani wote wanaopata ujauzito mazingira yanafanana. Tuliposhauri awali tulijua wapo watajaopata ujauzito kwa sitaili hii, lakini mkaungana na mbishi mwenzenu kutuona mazombi, sasa Leo huruma mmetoa wapi!? Nyie wagumu endeleeni na ugumu wenu msijifanye watakatifu kutafuta huruma ya jamii.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,390
2,000
Huyo mtoto afukuzwe shule haraka. Serikali inatoa pesa ya kusomesha wanafunzi siyo wazazi. Tena mkuu wa wilaya, mwalimu mkuu wahakikishe anafukuzwa shule mara moja. Huo ni uzembe wake na wazazi wake.

Narudia tena serikali yangu chini ya CCM haisomeshi wazazi.
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
17,875
2,000
"Fukuza kabisa huyo, tena weka ndani kabisa na asirudishwe tena shuleni. Hatuwezi kusomesha wazazi wakati hivi sasa tupo kwenye HAPA KAZI TU!" In Uncle Magu's voice.
Hii ni ROHO MBAYA kuliko ya Paka.

Huyu amebakwa, hakuamua kuingizwa mimba deliberately.

Halafu, je akirudi darasani wewe inakupunguzia nini?

Unasema hamuwezi kusomesha mzazi, kwani ni wewe unayemsomesha kwa pesa yako ama ya baba yako?

Karibu ujibu kinagaubaga.
Huyo mtoto afukuzwe shule haraka. Serikali inatoa pesa ya kusomesha wanafunzi siyo wazazi. Tena mkuu wa wilaya, mwalimu mkuu wahakikishe anafujuzwa shule mara moja. Huo ni uzembe wake na wazazi wake.

Narudia tena serikali yangu chini ya CCM haisomeshi wazazi.
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,245
2,000
Iliripotiwa wapi kuwa kabakwa? Alishktaki kwa wazazi ama waalimu wake wa shule ama dini ay hata kwa kaka na Dada zake.

Ni wazi kama angeshtaki lazima angepelekwa Hosp na angepimwa vipimo vyote na hata angrpatiwa dawa za kuzuia huo ujauzito usitungwe.

Huyu binti ukitizama anatia huruma sana lkn mazingira ya kubakwa alikubaliana nayo ndio maana akashindwa kuliripoto hili kwa wakati. Angeripoti siku ya tukio Hali isingekuwa hivi ilivyo Leo.

Ili mtu isemekane kwamba kabakwa lazima kuwepo na ripoti inayo ripoti tukio lenyewe. Sasa amekaa miezi Minne baada ya kujulikana ndio anasema alibakwa? Kwann siku alipofanya kama hakutaka hakuripoti?

Leo nasema haya kwasabb jaman dunia imeharibika sana na hao tunaodhani ni watt sio watt kihivyo. Kuna case moja hapa mkuranga binti kapewa ujauzito na kijana kwa makubaliano alipogundua kuwa imenasa kijana akamwambia aseme amebakwa akitoka dukan jion. Ikabebwa hivyo hivyo. Yule kijana baradhuli yupo mtaani anakula maisha binti anasota na tumbo tuu. Mzazi hata kama watu wamekuambia fulan ni muhusika binti Kesha sema sio alibakwa na watu adui wajuaji. Utafanyaje? Mzazi amekaa kimya anaomba Mungu mtt azaliwe ndio amuangalie kamsadifisha nani...
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,135
2,000
Hii ni ROHO MBAYA kuliko ya Paka.

Huyu amebakwa, hakuamua kuingizwa mimba deliberately.

Halafu, je akirudi darasani wewe inakupunguzia nini?

Unasema hamuwezi kusomesha mzazi, kwani ni wewe unayemsomesha kwa pesa yako ama ya baba yako?

Karibu ujibu kinagaubaga.
Acha kukurupuka na ku-comment kabla hujaelewa hoja...
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,906

Mkuu huyo mtu mbona unamshambulia hivyo...alichokisema ni msimamo wa serikali...halafu kumbuka tunamsomesha huyo mtoto kwa kodi zetu
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,135
2,000
Leo nasema haya kwasabb jaman dunia imeharibika sana na hao tunaodhani ni watt sio watt kihivyo.
Ashakum si matusi... utoto au ukubwa wa mwanamke haupimwi kwa uwezo wa uchi yake kuweza kuruhusu vitu vigumu kupita tena huenda bila kubana bana bali hupimwa kwa kuangalia umri wake!
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,245
2,000
Hii ni ROHO MBAYA kuliko ya Paka.

Huyu amebakwa, hakuamua kuingizwa mimba deliberately.

Halafu, je akirudi darasani wewe inakupunguzia nini?

Unasema hamuwezi kusomesha mzazi, kwani ni wewe unayemsomesha kwa pesa yako ama ya baba yako?

Karibu ujibu kinagaubaga.
Mkuu hebu niambie nani kathibitisha kwamba kabakwa?

Mtoto mwenyewe? Tena baada ya kuona mimba imegundulika?

Kwann hakuripoti hili siku ilipotokea? Ninaamin kabisa kwenye jamii anayeishi kuna watu anawaamini sana. Angeweza kulisemea hili the same day kisha akapata msaada.

Kukaa kimya kwake kunatia mashaka. Vipi kama hizi ni nyama za huyo alomtia mimba aseme kuwa kabakwa ili jamaa lipone mvua ya miaka 32?

Case kama hizi zimetoka sana na siku hizi ndizo tricks wanazocheza hawa watt na hao wapenzi wao.

Binti awe ukweli ili asaidike

Kubakwa lazima kungekuwa na kyripotiwa tukio. Na angeripoti angepata msaada wa Hosp pengine hata huo ujauzito usingetungika. Na pia Angekingwa dhidi ya magonjwa mengine ya zinaa na ukimwi
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
17,875
2,000
Acha kukurupuka na ku-comment kabla hujaelewa hoja...
Unaweza kuthibitisha kuwa sijaelewa hoja?

Huyo akirudi kusoma wewe itakupunguzia nini?

Huwezi kusomesha mzazi, Kwani utamsomesha wewe kwa pesa yako ama ya Baba yako?
 
Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,121
2,000
Mwalimu kuu wa hiyo shule, afisa mtendaji, mwandishi aliyechunguza na kuandaa hii habari na kuipost kabla mtuhumiwa hajakamatwa wanatakiwa washughulikiwe
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,135
2,000
Mkuu huyo mtu mbona unamshambulia hivyo...alichokisema ni msimamo wa serikali...halafu kumbuka tunamsomesha huyo mtoto kwa kodi zetu
Tena ni msimamo wa serikali uliotiwa mkazo kwa sauti kali na ya juu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!
 
uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,498
2,000
Iliripotiwa wapi kuwa kabakwa? Alishktaki kwa wazazi ama waalimu wake wa shule ama dini ay hata kwa kaka na Dada zake.

Ni wazi kama angeshtaki lazima angepelekwa Hosp na angepimwa vipimo vyote na hata angrpatiwa dawa za kuzuia huo ujauzito usitungwe.

Huyu binti ukitizama anatia huruma sana lkn mazingira ya kubakwa alikubaliana nayo ndio maana akashindwa kuliripoto hili kwa wakati. Angeripoti siku ya tukio Hali isingekuwa hivi ilivyo Leo.

Ili mtu isemekane kwamba kabakwa lazima kuwepo na ripoti inayo ripoti tukio lenyewe. Sasa amekaa miezi Minne baada ya kujulikana ndio anasema alibakwa? Kwann siku alipofanya kama hakutaka hakuripoti?

Leo nasema haya kwasabb jaman dunia imeharibika sana na hao tunaodhani ni watt sio watt kihivyo. Kuna case moja hapa mkuranga binti kapewa ujauzito na kijana kwa makubaliano alipogundua kuwa imenasa kijana akamwambia aseme amebakwa akitoka dukan jion. Ikabebwa hivyo hivyo. Yule kijana baradhuli yupo mtaani anakula maisha binti anasota na tumbo tuu. Mzazi hata kama watu wamekuambia fulan ni muhusika binti Kesha sema sio alibakwa na watu adui wajuaji. Utafanyaje? Mzazi amekaa kimya anaomba Mungu mtt azaliwe ndio amuangalie kamsadifisha nani...
Sio mkubwa kiasi hicho na kubakwa ni tukio la aibu wachache huwa na nguvu ya kusema hasa kijijini ambako elimu ya kujiamini ni ndogo kifupi apewe uangalizi wa karibu ajifungue salama baada ya hapo aangaliziwe elim mbadala kama kushona cherehani au mapishi na mapambo
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,245
2,000
Ashakum si matusi... utoto au ukubwa wa mwanamke haupimwi kwa uwezo wa uchi yake kuweza kuruhusu vitu vigumu kupita tena huenda bila kubana bana bali hupimwa kwa kuangalia umri wake!
Kwangu mm kitoto na utu uzima na hupimwa kwa umri na maturity.

Binti huyu aseme ukweli ili asaidike. Tatizo anamficha muhusika kwa visingizio cha kubakwa alijua kwamba akisema kubakwa muhusika ni nani atasema simjui
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom