Rangi ya passport ya Tanzania haipendezi

Rangi ya passport ya Tanzania haipendezi

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
463
Reaction score
374
Wadau, ukiangalia rangi ya cover ya passport ya nchi yetu haipendezi kabisa, nashauri wabadilishe rangi, bora iwe dark blue au zingine zenye mvuto!!

external-content.duckduckgo.com.jpg
 
Jadili mkishamaliza nitaunga mkono maamuzi yenu. Shida yangu niruhusiwe ku-pita tu nikiwa nayo.
 
Umelinganisha na ya nchi ipi / zipi?
 
Simchezo,
Sio haipendezi,,, imeshaharibika mkuu,, wakiona kijani tu,, mnaanza kudhalilishana,, inaleta usumbufu mkubwa kwnye inchi za wapinga madawa ya kulevya
 
Simchezo,

Ukiwe unasafiri ukishika passport ya bongo na rangi yake ni kijani utakaguliwa sana kwa kuzani ww ni mnigeria coz zinafanana sana rangi na za nigeria na wananigeria ni kimeo dunia zima, mm siku moja nilikuwa naingia kwny kukanguliwa sasa tuliongozana na wananigeria wawili mbele yangu dah! Nilikoma coz anayeangalia passport unamuacha nyuma so mbele unakanguliwa! Jamaa wakajua na mm mi nigeria nilisearch mpaka nikapata shida mpaka nikaona kama ndege itaniacha yan acha. Passport yetu ni kimeo coz ya rangi yake
 
Ukiwe unasafiri ukishika passport ya bongo na rangi yake ni kijani utakaguliwa sana kwa kuzani ww ni mnigeria coz zinafanana sana rangi na za nigeria na wananigeria ni kimeo dunia zima, mm siku moja nilikuwa naingia kwny kukanguliwa sasa tuliongozana na wananigeria wawili mbele yangu dah! Nilikoma coz anayeangalia passport unamuacha nyuma so mbele unakanguliwa! Jamaa wakajua na mm mi nigeria nilisearch mpaka nikapata shida mpaka nikaona kama ndege itaniacha yan acha
Passport yetu ni kimeo coz ya rangi yake
Wanaangalia rangi au jina la nchi kwenye passport husika?
 
Back
Top Bottom