b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,195
- 2,109
Sio sababu ya kaya ndio mseme vijana wanakua wezi... Sio sababu ya kaya ndio mseme wabunge wanatukana... Sio sababu ya kaya ndio mseme Mimi Malaya.. Sio sababu ya kaya mseme vijana wamepoteza dira.
Kemea Tafsiri Mbaya ya Kaya, Kutokana na Tabia za watu.
Sent from my BRAIN
Kemea Tafsiri Mbaya ya Kaya, Kutokana na Tabia za watu.
Sent from my BRAIN