Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,054
- 23,502
1. Mtu anakuona umejilaza na
macho umefunga anakuuliza
umelala?.....
Hapana najaribu kufa.
2. Mvua inanyesha halafu unatoka
nje kisha mtu anakuuliza
unakwenda na hii mvua?.....
Hapana nitakwenda na inayofuata.
3. Rafiki yako anapokupigia simu
yako ya mezani halafu anakuuliza
uko wapi?.....
Niko kanisani naombewa...
4. Wanakuona umelowa ukitokea
bafuni wanakuuliza umetoka
kuoga?...….
Hapana nimeanguka kwenye
bakuli la choo.
5. Anakuona kabisa unakula
anakuuliza, ndo unakula saa hii?
Hapana nahifadhi ntakula week
ijayo...
6. Unamnunulia mkeo maua
anakuuliza hayo ni maua?.....
Hapana mke wangu, ni karoti.
7. Uko kwenye foleni ya kulipa
tiketi ya kuingia uwanjani kucheki
mpira, rafiki yako anakuuliza na
wewe unaenda kuangalia
mpira?..... Nimekuja kulipa ada ya
shule./
wewe je?
macho umefunga anakuuliza
umelala?.....
Hapana najaribu kufa.
2. Mvua inanyesha halafu unatoka
nje kisha mtu anakuuliza
unakwenda na hii mvua?.....
Hapana nitakwenda na inayofuata.
3. Rafiki yako anapokupigia simu
yako ya mezani halafu anakuuliza
uko wapi?.....
Niko kanisani naombewa...
4. Wanakuona umelowa ukitokea
bafuni wanakuuliza umetoka
kuoga?...….
Hapana nimeanguka kwenye
bakuli la choo.
5. Anakuona kabisa unakula
anakuuliza, ndo unakula saa hii?
Hapana nahifadhi ntakula week
ijayo...
6. Unamnunulia mkeo maua
anakuuliza hayo ni maua?.....
Hapana mke wangu, ni karoti.
7. Uko kwenye foleni ya kulipa
tiketi ya kuingia uwanjani kucheki
mpira, rafiki yako anakuuliza na
wewe unaenda kuangalia
mpira?..... Nimekuja kulipa ada ya
shule./
wewe je?