Sasa ni wakati muafaka kutengeneza mashine hii

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,791
2,000
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata yakuloweka sufuria ya ugali kwa siku saba na kuendelea bila kuoshwa! Nipo serious kama nyuki
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
44,525

Google DISHWASHER.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,374
2,000
Dish washer zipo, ingawa sijawahi iona laivu ila nilionaga ikitumiwa ktk muvi miaka ya 2007 hivi.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
44,525
2,000
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata yakuloweka sufuria ya ugali kwa siku saba na kuendelea bila kuoshwa! Nipo serious kama nyuki
Hii mashine inatumia umeme na maji mengi(ya baridi na moto). Sasa bachelor utakuwa na vyombo vya kutosha kutumia hii mashine? Maanake sana sana utakuwa na sahani,kimkombe,bilauri na sufuri mbili chafu, kutumia dishwasher kwa vyombo hivyo ni upotevu wa maji na umeme tu. Hii inafaa watu wenye familia kubwa na migahawani. Ni sawa na kutumia washing machine kufulia nguo tatu.
 
Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,350
2,000
G
dbf9c3a18aa7336b161a36d543fd48c0.jpg
g
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,270
2,000
Mwaka 1886 Mwanamke ndio alivumbua dishwasher kwa sababu wafanyakazi wake walishindwa kusafisha kwa haraka na kwa mda hivyo akauliza kama kuna mashine yeyote inayoweza kuosha vyombo.
Alipokosa aliamua kutengeneza mwenyewe.
Ndio mwanzo wa dishwashers huo mwaka 1886 du zamani eti
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,823
2,000
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata yakuloweka sufuria ya ugali kwa siku saba na kuendelea bila kuoshwa! Nipo serious kama nyuki
Unamaanisha 'Dish washer', hiyo ipo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom