Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari wanajamii forum
nimekuwa nikifatilia sana hizi tamthilia kama LEGEND OF THE SEEKER,MERLIN,na zingine zinazoendana na hizo lakini nimegundua hizi tanthilia za hawa jamaa zinatumia akili nyingi sana mpaka uzielewe....wenye ujuzi yale matukio yanayoigizwa mule yaliwahi kutokea au vp maana kitu kama UCHAWI kwa tamthilia hiozi maisee umekuwa advanced,inakuwaje wabongo tunashindwa kuja na idea kali kama hizi?????tusaidiane jamani kwa ushauri ili sekta yetu ya burudani isonge mbele,ina maana script kali kama hizi kwa bongo imeshindikana kuzipata