Ubabaishaji wa Fast Jet. Unakera..

Ubabaishaji wa Fast Jet. Unakera..

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Wakuu
Fast jet ilikuwa inasemekana ndio kampuni bora zaidi ya ndege isiyokuwa ya kiserikali lakini kampuni hii wamekuwa wababaishaji sana sasa hivi wa huduma mbovu zisizokuwa za kueleweka..
madharani huduma ya ndege kutoka Dar kwenda mbeya imekuwa na usumbufu mkubwa sana.! Wanaa ahirisha safari zao mara kwa mara.!
Kwa hili Fast jet hamfai kuelezwa kuwa ni kampuni bora ya huduma za ndege Nchini.
 
Watu wa Mbeya ni wa ajabu sana. Ndege zimeanza kwenda Mbeya hata miezi miwili haijaisha eti wameshaanza kuchoshwa na kukatizwa kwa safari. Pandeni majinja yenu na Tazara mliyozoea.
Bombardier haiendi Mbeya ?
 
Acha ujinga wewe, umehakikisha kwamba hizo kero kweli hamna?

Watu wa Mbeya wana ajabu gani hasa, au umetumwa kuwatetea hao fast jet?

Kama kero kwenye hizo ndege zipo hao wahusika wa fast jet wanatakiwa kuja hapa kutoa maelezo au kukanusha, sio we mjinga unakurupuka huko kama chizi unakuja kusema watu wa mbeya wa ajabu na wakati wanaelezea kero zao
 
Watu wa Mbeya ni wa ajabu sana. Ndege zimeanza kwenda Mbeya hata miezi miwili haijaisha eti wameshaanza kuchoshwa na kukatizwa kwa safari. Pandeni majinja yenu na Tazara mliyozoea.
Bombardier haiendi Mbeya ?
Rimbukeni.. unajifanya unajua kila kitu..[emoji5][emoji53]
 
Watu wa Mbeya ni wa ajabu sana. Ndege zimeanza kwenda Mbeya hata miezi miwili haijaisha eti wameshaanza kuchoshwa na kukatizwa kwa safari. Pandeni majinja yenu na Tazara mliyozoea.
Bombardier haiendi Mbeya ?
Miezi miwili??
Do your research before you open up your mouth.
Bombadier inaenda Mbeya ila not on a daily basis.
Kwa kweli fastjet wamekua wasumbufu mno haswa kwa mwezi huu disemba. Kuahirisha safari kwao imekua ni jambo la kawaida sana, hadi wanaboa!! Dindira
 
Back
Top Bottom