Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi nimekereka sana na JF kuunganisha threads zisizo na maudhui sawa. Hivyo Leo siwapendi katu!
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Kama kuna ukweli kwa jinsi kila mtu afikiriavyo likilotokea kwa familia hii na kwa upande uliohusishwa au kutendewa kwa vyovyote,na kwa alilolitekeleza Mh.Raisi wa Jamhuri yetu adhimu ya...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Wanabodi, Awali ya yote naomba kutoa shukurani za dhati kwa Mh Rais kwa msamaha kwa ndugu na jamaa zetu wote ingawa najua future yao ipo mashakani sana. Ila naombeni kujuzwa huyu Mzee Matonya...
8 Reactions
153 Replies
25K Views
Binafsi sijawai kutumia au kumiliki iPhone, ila napenda COMPAS DIRECTION na ile huduma ya GUIDE ACCESS yan kma mtu ameomba cm apige sim bas hatoki apo hadi pini, Wajuzi karibuni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muda umefika kukubali kushikiwa akili na kuacha kufanya Yale tunayoamini Tufanye kazi kama wanaotuongoza watavyo Kila kona vijana vijana hii ni kweli kama ni kweli uzalendo kwanza ni nini...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwako Rais Magufuli. Nakushukuru kwa kuwaachia huru Babu Seya naPapii. Najua ukweli unaujua ndio maana ulifikia huu uamuz. Hi kesi iliendeshwa kimaghumashi Sana Na kukomoana. Yani mwalimu...
1 Reactions
1 Replies
696 Views
Wakuu Taarifa za hivi punde zinasema kuwa gari la kampuni ya vinywaji TBL likiwa katika safari zake limepata ajali maeneo ya Tabata Jijini Dar es salaam. Hakuna taarifa zozote za wahanga wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanasiasa kuweni na akiba ya maneno.Kumbukeni Kamanda Lowassa amewatangulia kuijua Siasa, Katiba ya nchi anaijua, Ikulu amekaa kwani Waziri Mkuu Ana ofisi pale hakukurupuka kusema atamwachia Babu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu hawa watu ni janga mno unaweza kutuma pesa kwa bahati mbaya ukawa umeikosea na ukawahi kuwapigia simu kisha wanakujibu tumeuzuia sasa usubir masaa 24 unaweza kusubir hayo masaa 24 na bado...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku chache baada ya Raisi Magufuli kutangaza kubomolewa kwa jengo la Tanesco kuna sms ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa watu wajiandae, wanunue umeme mapema maana siku yoyote yawezekana...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI. _______________ Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana Agosti 29 kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni vema tukafahamu kwamba katika maisha rafiki anaweza kuja kuwa adui au msaliti kwenye mambo mengi sana yakiwemo mambo ya kwenye mapenzi, biashara, kupata nafasi kazini, mahusiano na marafiki...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
  • Closed
Kumekuwa na tuhuma nyingi sana kwamba kuna Wanyarwanda wapo nchini wanafanya kazi kwenye taasisi za umma vikiwemo vyombo vya usalama, huku lengo lao likiwa ni kuiba taarifa na kupeleka walipo...
15 Reactions
138 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Mi ni miongoni mwa wateja ambao wanatumia sim bank. Sasa sehemu ambayo naomba nisaidiwe ni hapa. Ikiwa mwanzo ulikua unatumia line ya tigo ghafla sehemu uliyokwenda ikawa haina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hbr wapendwa. Najiuliza, Tunaambiwa kanuni ya mwandishi wa habari n kuweka mizania ktk habari husika kwa pande zote. Mbona sijaona mwandishi yeyote atuhabarishe kuhusu waathirika walivyolipokea...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Unaweza kuongeza uliyokutana nayo au ya kwako. "Zangu source hazijulikani" Mfalme wa Italia wa 18, Umberto alikwenda mgahawani huko Monza na Mkuu wa majeshi Emilio Ponzia Vaglia. Mmiliki wa...
2 Reactions
5 Replies
996 Views
Baadhi ya wakazi wa Kiangu na Chuno mjini Mtwara wamelazimika kuyahama makazi yao yaliyojaa maji baada ya mvua kunyesha. Mvua ilinyesha usiku wa kuamkia jana Jumamosi Desemba 9,2017 saa nane...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Nianze kwa salamu ziwafikie wanajamvi wooote, nimatumaini yangu muwazima wa afya njema! Nirudi kwenye maada, takriban siku 20 zimepita toka nisajil laini yangu ya simu katika mawakala wa moja...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu samahani naomba mnisaidie seriez online ina subtittle ila nikiidownload inacheza bila subtittle Nimetumia VLC Nina pc kupitia idm asante Nimeipenda Dramacool kwa sababu unadownload file...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu ambaye anaendelea na matibabu nchini Kenya jijini Nairobi amefunguka na kusema kuwa wanaendelea kupigana na watashinda vita hiyo. Lissu amesema hayo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom