Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa upande wangu napendekeza Rais JPM aweke sheria atakaesababisha ajali anyang'anywe leseni na kufungiwa moja kwa moja asiendeshe tena gari. Hii itasaidia kupunguza ajali barabarani hasa zile za...
1 Reactions
4 Replies
722 Views
TECH JAN 5 2018, 4:56 AM ET Apple says all Macs, iPhones and iPads affected by Spectre, Meltdown security flaws BY ALASTAIR JAMIESON Apple admitted Friday that all iPhones, iPads and Mac...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Shirika la KINNAPA linalofanya kazi ya ushawishi Na utetezi Kwa masuala ya Sera Kiteto limeunganisha wanawake wilayani humo ili waweze kutambua nafasi waliyonayo kisiasa kiuchumi Na kijamii...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Vijana wana hali ngumu, pesa zetu wamezikalia, mtu anafanya kazi labda miaka 5 akitegemea awekeze ili aje apate mtaji afanye shughuli zake Leo hii anafukuzwa kazi mnamwambia pesa zako mpaka miaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama una haraka zako usitumie njia hii kwa muda huu. Kuna foleni ya kufa mtu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wafanyabiashara wa nyama na mifugo jijini Mwanza wamesitisha zoezi la uchinjaji wa ng’ombe kwa siku ya pili sasa kutokana na ongezeko la ushuru wa huduma ya uchinjaji. Huduma hiyo imedaiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Leo nilikuwa naperuzi hizi local channel na ghafla macho yangu yakatua kwenye EATV, nikakutana na mjadala ambao ulikuwa ukiongozwa na dogo mmoja, simfahamu jina lakini nadhani yupo mda mrefu sana...
2 Reactions
86 Replies
13K Views
Naibu waziri wa Sanaa utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amekutana na wasanii Babu Seya na Nguza Viking waliopata msamaha wa rais hivi karibuni kutokana na kosa la kubaka watoto. Amesema lengo...
6 Reactions
92 Replies
11K Views
Naona kuna kukatika umeme hasa ikifika jioni. Je, ni mgao pasipo kutaarifiana? Sasa hivi Tabata hakuna umeme na jana vile vile katika muda ule ule. Tiambiane ukweli.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa siku takriban nne wakazi wa Kigamboni wamekuwa wakikatiwa umeme kwa utaratibu maalumu ambao haujatangazwa. Kwa siku mbili jana usiku na juzi kati, umeme umekuwa ukikatika kati ya saa 1 na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF, Japo ukubwa wa kichwa si ujazo wa maarifa na wingi wa maarifa tunatofautiana sasa nimeona nisijifanye mjanja sana kwa hili baada ya kunishinda. Nimekuwa msomaji mzuri wa vitabu...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Leo January 4, 2018 Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa mabasi nchini TABOA wamelazimika kutoka katika mkutano ulioitishwa na Mamlaka ya Uthibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini-SUMATRA- na kuacha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu, Kwa kweli hili shirika la umeme Tanzania TANESCO hamsomeki kabisa. Ukatikaji wa umeme umekuwa ni mkubwa mno. Mlituaminisha kuwa tatizo litakwisha kwa sababu ya upatikanaji wa gesi...
1 Reactions
4 Replies
776 Views
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi 1. Ukifanya maamuzi ya kuishi...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikua naomba msaada wa kujiunga spotify kama Iphone user Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Kwa nini watu wa chadema ( ninaowajua) wanakuwa na emotional attachment na chadema? Naelewaa kushabikia Chama xyz hata mimi naikubali CCM lkn sina emotional attachment na CCM. Yaani kwa mfano...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukaguzi mkali wa mabasi umefanyika leo katika stendi kuu ya mabasi mjini Moshi na kusababisha mabasi mengi kuzuiwa kusafiri baada ya kuonekana kuwa ni mangala ngala. Itabidi matajiri wa Moshi -...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
-Nianze kwa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku. - Najongea moja kwa moja kwenye maada. Kama tunavyotambua sote kuwa DNA ni uchunguzi wa kitaalumu(vina 7) unaonyesha mahusiano wa baba na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati ya Ulinzi na Usalama za mikoa ya Manyara na Kilimanjaro zimelifunga kwa muda wa miezi sita bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo Mwanga mkoani Kilimanjaro kutokana na kukithiri kwa vitendo vya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Najiwazia kwa sauti tu kama experiences zote za nyuma zikafutwa halafu upewe nafasi tena ya kuchagua baadhi ya mambo itakuaje? Mume au mke ulie nae sasa atakua chaguo lako tena? Kama ni mshabiki...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Back
Top Bottom