Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Luna 2 - Luna 2 was first spacecraft to make a landing on the moon. Launched by the USSR on 12 Sep 1959, it impacted the surface of the moon on 14.09.1959 .... 2. Luna 3 - Luna 3 was first...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Kwa mujibu wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu.
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Hapo kale palitokea ukosefu wa chakula mkubwa na kusababasha njaa kali miongoni mwa wakazi wa mkoani Mwanza. Hii ilipelekea wanaume wengi kuacha familia zao ili kutafuta chakula kutoka maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Hivi karibuni Rais wa marekani Donald trump alitoa kauli ambayo ilionekana ni chukizo kwa nchi za afrika na Haiti.kauli kuwa nchi za afrika ni chafu ingawa yeye alikanusha.nchi nyingi za afrika...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu mzee mara ya kwanza tulikutana hapa mtaani nikiwa bado mgeni na bahasha yangu ya khaki mkononi.Ilikuwa mahala fulani napata kahawa hapa tegeta.Akanichangamkia sana halafu akaninunulia kahawa...
18 Reactions
177 Replies
14K Views
Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking 'Babu Seya' imeungana na Wazanzibari kwa ajili ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Maadhimisho hayo yaliyafanyika jana Ijumaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ni siku ya tano hatupati maji. Luhemeja and team tatizo ni nini ? Wake up
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Nimekuwa na tabia ya kufanya mazoezi Alfajir ya saa 10 mpaka 12. Majuma matatu yaliyopita kama siku nne mfululizo kuna binti huwa nakutana nae lile eneo ambalo namalizia kunyoosha viungo...
12 Reactions
185 Replies
20K Views
Habari wana JF, nimejaza form ya kuomba visa ya US na nime submit on line. Kilichonichemsha ni jinsi ya kulipia dola 160. Instruction inasema nifungue profile online. Nilipojaŕibu inanipeleka...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Najua hili swali ni changamoto kwa watu wengi tumekuwa tukijuvunia mambo mengi kama watanzania Sasa ikitokea ukaulizwa ni kitu gani unachojivunia katika umri wako wa sasa kama una miaka...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
Leo unapata kirimoro wapi nije tujoin?
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Utafiti mpya unaonyesha kuwa tabia ya kujipiga picha mwenyewe (selfie) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ni ugonjwa wa akili ujulikanao kitaalamu ‘Selfitis’ ambapo mgonjwa wa tatizo hili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Faster faster pasipo kuwachosha ni hivi; Rejection can give someone direction. Tumekua rejected kule tunako amini kwamba ni kuzuri kuliko huku kwetu dark continent, Sasa ndio muda wa sisi wachafu...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Nimeona na kusoma kwenye Mwananchi online hiki... 'Ofisa uchaguzi akihakiki majina ya mpiga kura kwenye kituo cha kupigia kura Arcu wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwenye uchaguzi wa marudio wa...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa...
8 Reactions
74 Replies
7K Views
Mfano ni huyu Rais wa kwanza wa India hayati Mahatma Karamchand Gandhi kupitia nukuu yake maarufu, 1."Live as if you will die tomorrow.Learn as if you will live forever" MAHATMA GANDHI...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Zenu Wana JF: Forum.. Jamani Kama Head line inavyojieleza naomba msaada wenu maana nimejaribu kutafiti kuwa hawa binadamu wenye makomwe huwa wana akili lakini bado sijapata data...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi in mkereketwa wa kusoma vitabu, lakini ninapata shida kuvipata online, ninatamani wapenda vitabu wenzangu tushirikishane links za vitabu. Kwa sasahivi ninatafuta...
6 Reactions
37 Replies
8K Views
Mjumbe wa Serikali ya mtaa wa CHUNO Halimashauli ya Manisipaa ya Mtwara Mikindani kupitia chama cha CHADEMA ajulikanae kwa jina la Juma Gud amefariki dunia mara baada ya kupelekwa ktk Hospital ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Halima Mdee 10 mins · NAOMBA KABLA YA KUCHUKUA MKOPO TUSOME MAELEZO NA VIGEZO VYA MKOPO VIZURIMaelezo na vigezo vya mkopo vinasema,Mikopo inatolewa kulingana na akiba ya Mwanachama atakayo weka...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom