Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mratibu wa Mauzo na Masoko wa Zantel-Zanzibar, Ndg. Haji Said Khatibu (katikati) akimsaidia Mkazi wa kijiji cha Uroa, Mkoani Kusini-Unguja, Bi. Fatma Abbas kuvuna zao la mwani baada ya Kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu zangu hii kauli ukweli huwa inanikera saana kama sio kuniudhi. Mungu anachukua walevi wachawi wazinifu wanafiki washirikina wote hao Mungu anakua amewapenda zaidi? Hata kama Mungu hakupendi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wandugu, nimesoma kuhusu muswada wa mfuko mpya wa jamii kama ilivyoripotiwa na gazeti la Mwananchionline hapo jana tarehe 23/11/2017. Nina mashaka na kilichoripotiwa, aidha aliyeripoti kuna vitu...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Tatizo siyo kufa, tatizo ni unakufaje! Tatizo ni unarejeaje kwa mola wako? Kurejea haina shida, we will all follow suit, ni unareje kwa kuacha mchirizi upi?, umeacha maumivu/ukatili/ uonevu/mauaji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nimeona kisa ambacho mara nyingi tunaona ni vya kawaida ila sio vya haki katika jamii yetu. Kisa chenyewe ni mama flani jirani apa aliye na tabia ya kutesa watoto wa kambo ambaye mumewe...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Habari wana jamvi,sote tu wazima na pole kwa wale ambao wameamka hawako na afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha hapo juu,mimi ni mtumiaji wa mtandao wa halotel. Na kila mara nikiweka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hili janga la foleni kwenye jiji hili la maraha imekua too much sasa, takribani mwezi sasa naona foleni zimekua kero sasa, serikali inabid ichunguze swala hili maana si tu muda kupotea lakini pia...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Katabia ka kumshambulia mtanzania mwenzetu anayebahatika kuteuliwa na rais wetu kutumikia watanzania, siyo poa Jaribuni kuwa waelewa jamani, nafasi zozote za ajira ni za watanzania bila kujali...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Ndio, nadiriki kusema hili kwa kulingana na aina au mfumo wa ufanyaji siasa tuliouzoea kuuona ukitumika na CDM. Huu ni wa kihistoria,na naongelea siasa za matukio ambazo chadema wanatumia Mara...
1 Reactions
0 Replies
646 Views
Mbunge wa songea mjin maalufu kwa jina la gama amefaliki dunia usiku wa kuamkia leo
0 Reactions
0 Replies
869 Views
MWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini? MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi? MWANDISHI:Mweupe. MZEE:Huyo namlisha majani. MWANDISHI:Na mweusi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu, nimesoma kuhusu muswada wa mfuko mpya wa jamii kama ilivyoripotiwa na gazeti la Mwananchionline hapo jana tarehe 23/11/2017. Nina mashaka na kilichoripotiwa, aidha aliyeripoti kuna vitu...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Wakati serikali hii ya awamu ya tano chini ya usimamizi mahiri Wa kabisa Wa Comrade JPM unaanza kutekeleza ilani yake moja ya vitu vilivyopigiwa kelele ni pamoja na utolewaji Wa elimu bure pasipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman Jana nilienda kijijiflan kutembelea ndugu ila maajabu nilio kutana nayo nikama hivi ,,,, kuna kimlima flan hivi kipo kijijini hapo ambacho ukifikapo rangi ya ngozi ya mwili wako...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali si shwari. Kuna vitu huko Kibiti, Mkuranga na Rufiji vinapaswa kuchimbwa na kuwekwa wazi. Vitu vitakavyosaidia kumaliza kinachoendelea huko. Lazima wananchi tujitoe kwa ajili ya usalama na...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari wana JF. Kuna hii sera ya serikali ya matibabu bure kwa wazee, wamama wajawazito pamoja na watoto chini ya miaka mitano kutolewa katika hospitali zote za serikali, je lina uhalisia wowote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli sasa Clouds Media Group mnaboa, mmetuchosha hadi tumelazimika kusema. Vituo vyenu vyote sasa ni kutangaza grand finale ya tigo fiesta kuanzia asubuhi mpaka jioni mpaka kesho yake...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau habarini Katika kuunga mkono jitihada za RC Makonda, jumla ya Madaktari Bingwa Na Wataalamu wa Afya 381 kutoka Jeshi la China watawasili nchini tarehe 20/11/2027 na kutoa huduma za matibabu...
3 Reactions
179 Replies
25K Views
Back
Top Bottom