Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Swali langu ni kwa nini hata Waafrika wanajali kuitwa shithole? Ile kulilia kuombwa msamaha peke yake inathibitisha sisi ni shithole, Wachina wameitwa majina mengi sana au hata Waarabu lkn...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Ili kuifanya inchi iweze kutawalika kwa urahisi, kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu, nibora ingepitishwa sheria kuwa elimu ya juu kabisa anayotakiwa kuwa nayo mtz ni ya Awali. Kwani sasa watu ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari za Jpili Ndo kwanza tupo katikati ya januari, kwa wale tuliochelewa kupanga malengo kabla ya mwaka huu kuisha ,bado tuna refine malengo yetu ili kupambana na yatakayojiri mwaka huu ...
0 Reactions
5 Replies
858 Views
Mimi nakumbuka shule kipindi hicho umetoka zako kwenye pepa la mathe unakuta wale wataamu wa namba wanabishana swali la 9 jibu ni n-3 wakati wewe huku umepata jibu 453,897. APO NDIPO NILIKUWA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauli imeshushwa sasa hivi ni 30,000 wapigie kwa ajili ya tiket na booking 0782660297 Boti ya kisasa (Speed boat) MV Bluebird imeanza safari zake rasmi leo tarehe 05.01.2018 kwa kutoka bandari ya...
9 Reactions
126 Replies
24K Views
Moshi.Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Wilson Kalanga (28) Mkazi wa Shirimatunda kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa mdogo wake mwenye umri wa miaka sita. Kamanda wa polisi mkoani...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Serikali yaufunga mgodi wa Zem Tanzania Limited wilayani Butiama baada kuupuuza agizo la Serikali la kuwapatia vifaa vya usalama na kinga wafanyakazi wake, kushindwa kuwapa mikataba ya ajira, huku...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtwara. Wakazi wa kijiji cha Mtendachi halmashauri ya wilaya Mtwara wamejitolea kujenga shule ya msingi kijijini hapo ili kuwaondolea watoto wao adha ya kutembea umbali mrefu kwenda shule iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Makala hii ni miongoni mwa makala za hayati Munga Tehenan, zilizowahi kutoka katika Gazeti la Jitambue. (Gazeti hilo limesimama kuchapishwa kutokana na sababu za kiufundi) Nimeamua kuirejea...
1 Reactions
2 Replies
671 Views
Mambo vipi fellaz Leo nimeona nije kivingine. Nakuja Na uhasishaji wa kusoma vitabu. Eat that frog Kitabu hiki ni kifupi Na kizuri sana, kimeandikwa kwa kiingereza rahisi kueleweka hata kwangu...
22 Reactions
49 Replies
7K Views
Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo January 13, 2018 imetoa tangazo kwa abiria wake kuwa inasitisha huduma ya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa heshima hivi ndivyo alivyopokelewa kagame
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Mtoa mada wa jana kasindwa kutupa update Askofu Kakobe kesho atatoa mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusu utajiri wake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mh. Waziri wa Nishati tafadhali tupia macho TANESCO Wilaya ya Hai. Wanafanya kazi kwa mazoea na kila unapoenda kwa ajili ya huduma ni watu wa njoo kesho njoo kesho bila kujali wateja wanatoka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nina kifahamu kiingereza vizuri tu japo si sana ila nina matatizo kidogo kwenye hii lugha ,matatizo yenyewe ni haya: (1)Juzi kati nilibahatika kufanya interview katika kampuni flani hivi ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza wana jf wenza wajuzi mnijuze tafadhali, je, inaluhusiwa waya wa umeme wa selves line kupita juu ya fensi ya nyumba na sio paa la nyumba maana naofia kuanza ujenzi wa fensi nisije...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Wakati uongozi wa kata ya Nyehunge wilayani Sengerema umepitisha sheria ya kuwacharaza viboko 12 au faini ya Sh10,000 wanaume watakaokutwa wamesimama na wanafunzi wa kike, Wilaya ya Tandahimba...
0 Reactions
98 Replies
13K Views
Kumbe hii shida ya kukatikakatika kwa umeme ni kutokana na chanzo muhimu kufungwa. Mtambo wa IPTL ndio kwa kiwango kikubwa ulikuwa unahimili shida ya umeme nchini. Tangu mkataba wake kuzimwa na...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Back
Top Bottom