Harry singo
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 352
- 438
Habari zenu wanajamvi.
Mimi in mkereketwa wa kusoma vitabu, lakini ninapata shida kuvipata online, ninatamani wapenda vitabu wenzangu tushirikishane links za vitabu.
Kwa sasahivi ninatafuta kitabu cha the family cha Mario puzo ningeomba kwa alienacho atushirikishe.
Pia kama una novel yoyote nzuri unaweza kutupia hapa ili tushirikiane, )James hardley chase, Frederick Forsythe nk.)
Pia vitabu vya kukuza uelewa na biashara nk. Mfano napoleon hill nk.
Natanguliza shukrani