Tanzia: Mwanachadema Juma Gud amefariki dunia

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Messages
892
Points
1,000

TzComedy

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2017
892 1,000
Mjumbe wa Serikali ya mtaa wa CHUNO Halimashauli ya Manisipaa ya Mtwara Mikindani kupitia chama cha CHADEMA ajulikanae kwa jina la Juma Gud amefariki dunia mara baada ya kupelekwa ktk Hospital ya Rufaa Ligula iliyo Manisipaa ya Mtwara siku ya tar 10/01/2018 akisumbuliwa na Malaria.

Aidha ndugu yetu huyo ilipofika majira ya saa 7 usiku wa kuamkia tar 12/01/2018 aliiaga dunia baada ya kuzidi kwa homa, na hatimae ilipofika majira ya saa 10 jioni ya tar 12/01/2018 akapelekwa kupumzishwa ktk nyumba ya milele.
Mungu ailaze roho ya malehemu peponi Amen.
 

Forum statistics

Threads 1,379,293
Members 525,347
Posts 33,741,629
Top