Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu mzee bana hanaga dini na wakati wake, enzi zake huapishwa kwa kunyoosha tu mkono kwakuwa haamini katika mungu. Ugua pole mzee wetu
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Kumekuwa na imani kwamba kama utamtendea mwenzio ovu basi nawe litakupata kama si wewe bsi uzao wako wao wanaita "karma" sasa unakuta unataka lipiza kisasi, ama mtu kakukera unataka umwoneshe...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya mvua kwa miaka yote kuleta madhara makubwa katika barabara ya Morogoro, eneo la bonde la mto Msimbazi, hasa eneo la jangwani, na kusababisha shida kubwa kwa watumiaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Nyambiti wilayani Chato mkoani Geita, Moses Simbi (19), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kuiba kuku watano. Hukumu hiyo ilitolewa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanabodi, Mwenye circular au maelekezo ya kina juu ya tozo zote kuwa in Tanzania shillings except kwa baadhi ya vitu naomba atuwekee hapa ili tuelewe vizuri. Hizo exceptions zinaleta mushkeli...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Mabadiliko ya mtindo wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta na kutofanya mazoezi umeongeza idadi ya watu wanaofanyiwa upasuaji katika nchi za Afrika na kuwaweka katika hatari ya kufariki...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Balozi Kagasheki akiwa visiwani Zanzibar katika zoezi la kupakuwa shehena kubwa ya pembe za Tembo zilizokamtwa ikiwa na vipande 1,021 na uzito wa kilo 2,915 ambayo haijawahi kukamatwa nchini...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Another piece of dessert. Hello diabetes. Regret. If you learn something from your mistake, it makes you a better person in the future hopefully. Do not wish it never happened Dwelling in the...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu, Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas...
23 Reactions
112 Replies
75K Views
Habari wakuu, nikienda moja kwa moja kwenye mada nasikitika kuwaambia kwamba kuna member mwenzetu wa JF tulimpoteza yaani alifariki miezi michache imepita, aliugua ghafla na akafariki...
12 Reactions
66 Replies
5K Views
TV Imani imekuwa haipatikani katika ving'amuzi vya Star Times kwa muda, wateja wa TV Imani walipokuwa wanapiga simu StarTimes idara ya huduma kwa wateja wamekuwa wakipata maelekezo yasiyoridhisha...
3 Reactions
86 Replies
15K Views
https://www.tripwire.com/state-of-security/security-awareness/wait-youre-not-google-threat-typosquatting/ As humans and as users, we make mistakes. Sometimes we forget to implement that software...
1 Reactions
4 Replies
839 Views
Kwa wasiofahamu ile sanamu ya bismini mwanzoni kabisa ilikuwa sanamu ya Askari ya Kijerumani aliyejulikana kama Hermann von Wissmann, yaani ilijengwa na Wakoloni Wajerumani kwa ajili ya kumuenzi...
4 Reactions
116 Replies
22K Views
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa nzuri ilikuwa miaka ya 80 hivi kulikuwa na katuni kwenye magazeti ya mzalendo na uhuru ilikuwa inaitwa Chakubanga,leo nimeikumbuka sana hii kitu!
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Huwa sijajua ni kwanini maprofesa hata ma doctor wengi huwa wana amini hapa duniani hakuna wizi mbaya kama wizi wa akili. Kuna profesa mmoja alikuwa anasema ni heri mtu akuibie pesa, mali lakini...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mafuriko yasababisha shule kufungwa kwa muda Mafuriko yamesababisha shule ya msingi Nyakasenga, Kata ya LUSAHUNGA wilayani Biharamulo, kufungwa kwa muda, baada ya walimu na wanafunzi kushindwa...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Hivi karibuni serikali ilionya watu kujichukulia hatua za kupiga picha za mnato au video katika uharibufu wowote unaofanyika katika miondombinu ya serikali i.e Majengo n.k jambo ambalo lilimtia...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV ilipofika habari za biashara kuna habari wakaisoma eti "Mauzo ya hisa yameongezeka mwaka 2016 kulinganisha na mwaka uliofatia " Yaan kwa maana nyingine...
21 Reactions
76 Replies
8K Views
Download hii hapa
1 Reactions
0 Replies
994 Views
Hivi ni haki kumkamata aliyeibiwa kisa kumuitia mwizi aliyeiba ambaye ameuawa na wananchi wenye hasira kali, ilhali imethibitika ni kweli ameiba zaidi ya nyumba mbili kwa usiku mmoja ?.
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Back
Top Bottom