Msaada jinsi ya kulipia US visa online

Msaada jinsi ya kulipia US visa online

Jotu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
444
Reaction score
311
Habari wana JF, nimejaza form ya kuomba visa ya US na nime submit on line. Kilichonichemsha ni jinsi ya kulipia dola 160. Instruction inasema nifungue profile online. Nilipojaŕibu inanipeleka kujaza form upya.

Tafadhali anayefahamu nisaidie jinsi ya kulipa.

Ahsante
 
Back
Top Bottom