Tatizo la maji Kibaha

Tatizo la maji Kibaha

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
2,912
Reaction score
3,469
Leo ni siku ya tano hatupati maji. Luhemeja and team tatizo ni nini ? Wake up
 
Hahaha wako kwenye mchakato, bado wanayazalisha na kuyaingiza kwenye bomba la taifa. Mgao in the making.
 
Kuna mwenye contact zao? We can not live like pigs
 
Dah, kwangu huko ...kibaha ipi mkuu? poleni sana
 
kuna laini moja ya zamani wanabadilisha na kuweka mpya kwa hiyo kuna baadhi ya wateja wameathirika na hilo.
 
Yameanza kutoka. Nimeshaoga mara mbili. Najua na mchepuko nae yuko safi
 
Back
Top Bottom