Kwamba Leo Ni Marudio ya Uchaguzi Ubunge?

Kwamba Leo Ni Marudio ya Uchaguzi Ubunge?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
855
Nimeona na kusoma kwenye Mwananchi online hiki...

'Ofisa uchaguzi akihakiki majina ya mpiga kura kwenye kituo cha kupigia kura Arcu wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwenye uchaguzi wa marudio wa kumchagua mbunge wa jimbo hilo.'

Sikuwa nafahamu hili. Je, wewe ulikuwa unalifahamu hili kwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom