Maandishi haya K+T+M+2018 mlangoni humaanisha nini?

Maandishi haya K+T+M+2018 mlangoni humaanisha nini?

rettyy

Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
73
Reaction score
37
Kuna baadhi ya watu huandika kama inavyoonekana hapo juu mlangoni nje hasa mwanzo wa mwaka, maana yake ni ipi?
 
Inategemea ni mlango wa mbele ama nyuma,au wa toilet.
 
Back
Top Bottom