YUKO WAPI HEMEDI KIVUYO??

YUKO WAPI HEMEDI KIVUYO??

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Habar wana jf
Leo nilikuwa naangalia habar za michezo nikamkumbuka hemed kivuyo mzee wa vionjo vionjo

Ila kwa sikuhz za karibuni sijamsikia na wala sijamuona itv na mm ni mtamaji pendwa wa itv

Anayejua yuko wapi naomba aniambie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom