Nchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Raisi wa Wasafi au?mawazo ya hovyo,viwanda vya hovyo,raisi wa hovyo.
Thread ya hovyo kutoka kwa mpuuziNchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Mkuu punguza kulalamikaKwa hiyo watu wakae kimya huku katiba ikikanyagwa, mahakama, Bunge zikidharauliwa, sheria zikipindishwa, uchwara anatoa rushwa ili kununua wachumia tumbo na hivyo kuingiza walipa kodi gharama zisizo na kichwa wala miguu za chaguzi, anateka, kutesa na hata kuua Watanzania. Ndani ya miaka miwili kishajichotea karibu 3 trillions bila idhini ya Bunge, uongo uliokithiri wa kuokota vichwa vya treni mwenyewe hajulikani wakati vina nembo ya TRC ubavuni na vimeshalipiwa 71 billions. Juzi wanadai wamevinunua kichwa kimoja $3 millions magari yaliyoagizwa 2015 na ofisi ya Rais aliyeagiza hajulikani!!!!
Usiendelee kutetea maovu yaliyodhihiri kwani Watanzania wakichoshwa na huu uhuni na upumbavu wa miaka nenda miaka rudi hakuna atakayekuwa salama. NGUVU YA UMMA ni habari nyingine kabisa.
Hiyo nchi inahitaji maombi wallah....Nchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Mkuu punguza kulalamika
Uelewa wako bado mdogo sana. Nadhani Baba yako angekuwa Lissu usingeandika upuuzi kama huu. Mkuki kwa nguruwe haukuhusu wala huoni uchungu wa aina yoyote ile.
Huu muda wa kuhudumia ndoa
Kwa avantar yako lazima ujibu kihovyoThread ya hovyo kutoka kwa mpuuzi
Inauma sana watu wanajitoa ufaham kwenye mambo yaliyopeupeKwa hiyo watu wakae kimya huku katiba ikikanyagwa, mahakama, Bunge zikidharauliwa, sheria zikipindishwa, uchwara anatoa rushwa ili kununua wachumia tumbo na hivyo kuingiza walipa kodi gharama zisizo na kichwa wala miguu za chaguzi, anateka, kutesa na hata kuua Watanzania. Ndani ya miaka miwili kishajichotea karibu 3 trillions bila idhini ya Bunge, uongo uliokithiri wa kuokota vichwa vya treni mwenyewe hajulikani wakati vina nembo ya TRC ubavuni na vimeshalipiwa 71 billions. Juzi wanadai wamevinunua kichwa kimoja $3 millions magari yaliyoagizwa 2015 na ofisi ya Rais aliyeagiza hajulikani!!!!
Usiendelee kutetea maovu yaliyodhihiri kwani Watanzania wakichoshwa na huu uhuni na upumbavu wa miaka nenda miaka rudi hakuna atakayekuwa salama. NGUVU YA UMMA ni habari nyingine kabisa.
Ukweli kumbe kwako ni kulalamika pole uko kwa Shemeji ako nn huwezi ona ujinga Wa ccmMkuu punguza kulalamika
Uelewa wako bado mdogo sana. Nadhani Baba yako angekuwa Lissu usingeandika upuuzi kama huu. Mkuki kwa nguruwe haukuhusu wala huoni uchungu wa aina yoyote ile.
Moshi wa mwenge umetufanya tuwe wa hovyoNchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Mpuuzi mimi ni mwanafunzi wa Mwalimu wangu mama yako. Alikuwa Mwalimu wangu Hivyo kama upuuzi ni makosa ya mwalimu wangu mama yako. Nilifundishwa na mwalimu hovyo! Unamtukana mama bila kujua kuwa ndiye mwalimu wangu primary school.Thread ya hovyo kutoka kwa mpuuzi
Hiyo itakuwa ni Nchi ya kusadikika kwa kuwa HAIPO DUNIANI. Kama unafikiri ipo naomba utujuze huku ukiweka vigezo ulivyo tumia vikihusisha Nchi ngapi ulizo zitembelea/zisoma kwa undani kujiridhisha kuwa majibu yako ni sahihiNchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Changanya na za kwako!