Mapacha walioungana wakisali sala ya pamoja na mh.rais JPM

Mapacha walioungana wakisali sala ya pamoja na mh.rais JPM

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
2,420
Reaction score
1,724
Tusali pamoja kuwaombea mapacha hawa walioungana Maria na Consolatha waliolazwa kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete jijini Dar es salaam wakipatiwa matibabu ya Moyo.

Na hii ni video ikiwaonyesha wakisali sala ya pamoja na Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta John Pombe Magufuli alipowatembelea Hospitalini hapo.
TuwaombeeWaponeharaka.
source:RadioMariaTz# MaryChristmas#
happynewyear2018



https://instagram.fdar2-1.fna.fbcdn...81_1911049038913490_3688632675330949120_n.mp4
 
Jukumu la kutubu ni kila mwanadam. Sote tunapaswa na si jukumu la mmoja.
Mungu awaponye.
 
Ameamua kutubu hadharani ameona akitubu magogoni wenyenchi hawataamini katubu. .........
Kakobe punguza kasi tafadhali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ameambiwa Mungu anasikiliza mapacha walioungana.

Wanamuombea na yeye aungane na earth in a natural way.

Safi sana mapacha!
 
Back
Top Bottom