Unabii wa Jay umetimia!!

Unabii wa Jay umetimia!!

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
HAKIKA YOTE YAMETIMA

Nimekaa nikasikiliza mashairi ya huu wimbo wa Mh.Joseph Haule ,Nang'atuka mpaka nimeshtuka na kama sii kuogopa.

Ni kama vile jamaa alioteshwa. Yote yalioimbwa yatatimia katika utawala huu.

Asante Prof.JAY

 
Back
Top Bottom