x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 953
- 669
Wasalaam wanajamii,
Nirukie kwenye swali moja kwa moja nahitaji kufahamu ufafanuzi wa student visa je, visa hii utolewa kwa watu waliopata scholarship tu au kwa mtu yeyote mwenye dhamira ya kusoma nje ya nchi? Na je ili upate hiyo visa vitu gani muhimu vya kuonyesha.