nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6,491 Reaction score 8,161 Jan 7, 2018 #1 Tangu asubuhi ni scanning in progress Searching for signal......... Nini tatizo wakati tunawalipa? Ina maana mnashindwa kuboresha mitambo yenu? Hamjui kuwa hakuna fidia kwa muda uliopita bila kuangalia?!!!! Fanyeni mpango turudi hewani
Tangu asubuhi ni scanning in progress Searching for signal......... Nini tatizo wakati tunawalipa? Ina maana mnashindwa kuboresha mitambo yenu? Hamjui kuwa hakuna fidia kwa muda uliopita bila kuangalia?!!!! Fanyeni mpango turudi hewani
mmekutravella Senior Member Joined Apr 16, 2013 Posts 100 Reaction score 33 Jan 7, 2018 #2 Daah bro nilidhani ni kwangu tuu kumbe watu kibao tunaona hii kitu eeh...wanazingua sasa