Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Eee Mwenyezi Mungu asante sana kwa siku ya leo.
Usiku huu tunajikabidhi kwako, tunalikabidhi Taifa letu la TANZANIA kwako, na pia tunamkabidhi kwako Rais wetu mpendwa Mh John Pombe Magufuli katika mikono yako salama. Tunakuomba umpatie uzima, nguvu, ujasiri na ulinzi wako dhidi ya watu wabaya wasioitakia mema nchi yetu ili azidi kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa weledi na uzalendo.
Amen