Inatuchukua miaka mingi ya kujitolea na kumwomba Mungu hadi kufanikiwa kujenga nyumba za ibada. Kama Magufuli hajashiriki kujenga nyumba za ibada, hajui gharama kubwa inayotupata kujenga nyumba...
Jiji la Dar es Salaam limechukua tuzo ya Bloomberg Philathropies kutokana na mradi wa mabasi ya mwendokasi DART ambao umepunguza foleni barabarani na uchafuzi wa hali ya hewa
Usafiri huu...
Mimi ni wakala wa m-pesa hapa mtaani wapo mawakala wenzangu huwa tunaaminiana kama mawakala maana miongoni mwa sifa kuu ya kuwa wakala ni uaminifu.
Sasa ipo hivi kuna siku nilikosea kutuma pesa...
Naamini uncle utawaambia wenzio
Basi LA Kampala limewekwa taa za kuchajia toka SAA kumi namoja kama vile halina taa kabisa
Ukiuliza dreva anakwambia ukishindwa kuona siti yako tuite kha
Basis...
hili jambo limekuwa likinikera sana. ni utaratibu wa hovyo sana kuwah kutokea kwenye sherehe na mikutano mbalimbali. wewe huna hili wala lile umemaliza sherehe au mkutano unatoka nje unakuta picha...
Shambulizi lililotekelezwa na ndege vita za Japan dhidi ya Marekani katika Bandari ya Pearl huko Hawaii halitakaa lisahaulike na Wamarekani.Walipigwa vibaya.
Kimsingi lilikuwa shambulizi la...
RUSHWA HUANZAJE KWENYE SYSTEM?
1.Unaachiwa maziwa au unamuachia mtoto wako mkubwa chakula cha mdogo anakula chote,
2.Monitor darasani anawapanga wengine ratiba za usafi lakin rafiki yake hampangi...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Nataka kufikia mwaka kesho mwanzon nihame mwanza nihamie arusha
Naomba wenyeji mnambie ni mtaa upi mzur wa...
Yaani pasipo uzinduzi na yeye ni kama haishi au hayupo kabisa dunia hii!
Anaishi panapo uzinduzi,pasipo na uzinduzi hana maisha na ndio maana kila panapo uzinduzi na yeye ndipo anapozinduka...
Hii ni hotuba aliyoitoa Mugabe katika mkutano wa 36 wa nchi wanachama wa umoja wa Africa huko addis ababa mwaka jana. Alikuwa anadai Africa ipewe walau seat moja kwenye baraza la usalama la umoja...
Kuna wamama wamevaa nguo za ccm wanatembeza pesa hapa warid lodge iliyopo makole karibu na mahakamani naona wanaopokea wengi ni vijana wa kike na wamama mmoja mmoja anaingia chumbani na wapangaji...
Kwa hapa Tanzania inakadiriwa kwamba miaka ya kuishi ni 45, japo wapo ambao wanafika mpaka 80 lakini wengi ni wacheza kwenye 45 mpaka 50 na baadhi mpaka 62.
Yaani miaka mitatu baada ya stress za...
Habari wanaJF,
Kwasisi wafanyabiashara tumewahi kukumbana na kitu kinaitwa CHUMA ULETE, nimebahatika kuwa na kijiofisi cha M-Pesa mitaa ya Mbagala hapa basi huyu Mwanadada niliyemuweka hapo...
Mkuu Wa shule ya sekondari bondeni inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Bakwata,jijini Arusha Rahimu Masawe amekiona cha moto Mara baada ya ofisini yake kugeuka lokapu ya kumsurubu baada ya walimu...
Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu.
Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui?
Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao!
Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee?
Wawe...
Wadau ,
kuna jambo ambalo binafsi silielewi, mmiliki wa gari amemkodisha mtu ambae katika hoja yangu nitamwita Dereva kwa mkataba uliosainiwa kisheria na kuainisha haki za Dereva na Haki za...
Apandacho mtu ndo avunacho
Ukipanda karanga utavuna karanga
Ukipanda uchafu utavuna magonjwa
Ukipanda juhudi utavuna mafanikio
Kwa upande wangu kanuni hii ndo huwa naiona inauhalisia...