Kanuni ya maisha yenye ukweli

Kanuni ya maisha yenye ukweli

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Apandacho mtu ndo avunacho

Ukipanda karanga utavuna karanga

Ukipanda uchafu utavuna magonjwa

Ukipanda juhudi utavuna mafanikio


Kwa upande wangu kanuni hii ndo huwa naiona inauhalisia kwenye maisha....


Wewe je kanuni gani unaikubali


Karibuni wadau.
 
Ukitenda wema unajitendea mwenyewe na ukifanya ubaya unajifanyia mwenyewe. Tofauti ya kutenda na kujitendea ni muda tu.
 
na ukipanda karanga na mvua zisinyeshe je?
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

watu wengi sana wanapenda kutenda mambo fulani fulani ila yale yale watendayo wakifanyiwa wao huwauma saaana.

hii ina ukweli kabisa
 
Back
Top Bottom