Tanzania kisiwa cha Amani

Tanzania kisiwa cha Amani

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Hello wakuu wa nchi ,bado tunashikilia hii record wakuu ,maana najua tulikuwa number one Kwa Africa ,
 
Kwa sasa tuko busy na Gulio. Manunuzi yamepamba moto.

Kwa haraka haraka tu Tanzania sio kisiwa na Amani ni eneo moja linapatikana Muheza Tanga. Labda uanzie hapo utaelewa
 
Hello wakuu wa nchi ,bado tunashikilia hii record wakuu ,maana najua tulikuwa number one Kwa Africa ,
nchi ya kuteka, kupiga risasi wapinzani, kuminya Uhuru wa kujieleza na kupata taarifa. Vyuma vimekaza watu wanauzwa Na amani imo mikononi kwa watu wasiojulikana
 
Back
Top Bottom